CHAWO- Chadema Watoto Organization

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,337
Mtoto ni binadamu yeyote chini ya miaka 18.

Sasa ni mhimu chama kupitia BAVICHA waunde kikundi kidogo ndani yake kama vile chaso... hili kuanda watoto katika ukomboz mkubwa wa haki na amani 2015.......

Hii itasaidia sana kwani weng watakuwa wamefikisha miaka 18 mwaka 2015, kwani club kubwa za mpira zinaanza na under 17, 21 na wakubwaaaa itakuwa poa sana na chama kubwa kama CHADEMA itakuwa safi.

Mh. J. heche na timu yako 'isipokuwa juliana tu' litazame hili mkuu... litasaidia sana.

Peoples!.. power.....

Nawasilisha......!
 
ni swadakta with BOLD FONT Mkuu Frema 120 kwani hao magamba pia wana Idara ya Chipukizi na Uhamasishaji almaarufu kama Chipikizi na shughuli zao wanazifanya kwenye Mashule. Hii ipo na matokeo yake ni vile vitoto vya halaiki UPO!
 
nimekusoma mkuu, good comment...
 
Back
Top Bottom