Mkataba wamuungano kati ya Tanganyika na Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkataba wamuungano kati ya Tanganyika na Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ulimbo, May 27, 2012.

 1. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Ndugu wana jamvi nawasalimu.
  kutokana na vuguvugu la Muungano kati ya Tanganyika Zanzibar kuendelea kwa
  muda mrefu na sasa vurugu zinazoendelea huko zanzibar, naombeni mwenye mkataba wa makubaliano kati ya Tanganyika na Zanzibar uliosiniwa na waasisi wake J.K. Nyerere na Karume atuwekee hapa ili tuupitie na kujua walichokubaliana/walikubaliana muungano wa jinsi gani na kwa muda gani ili tuweze kutoa maoni yetu.

  Yawezekana kunaupande mmoja unadhulumiwa ndo maana upande mwingine unaukataa huo muungano.

  Naomba tuache mambo ya kishabiki, itikadi za kidini na kisiasa katika kujadili jambo hili.

  Nawakilisha
   
 2. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Tafuta upo hapa JF.
   
 3. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nenda kwny makaburi yao uwaulize watakujibu walizikwa na huo mkataba!
   
 4. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Nashukuruila naomba link yake niweze kufuatilia.
   
 5. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Niliomba kama kuna mtu mwenye huo mkataba anipe, na si lazima. Lingekuwa jambo la busara kutochangia kama unaona mada inakukera au una jibu kuliko kutoa majibu kama hayo uliyo yatoa.
  Nilitangulia kusema tuache itikadi na ushabiki, itikadi za kisiasa na kidini kwani mambo hayo hayana tija.
   
Loading...