Uamsho Zanzibar na kiama cha makanisa ya kikristu visiwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uamsho Zanzibar na kiama cha makanisa ya kikristu visiwani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RC., May 27, 2012.

 1. R

  RC. JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 446
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu numesikitishwa sana na taarifa za hivi punde ITV kuwa watu hao wamechoma kanisa la kikristo la TAG(Tanzania Assembly Of God)sasa najiuliza wakristo wamewakosea nini?. kwani uamsho huo si ni juu ya muungano?sasa imekuaje wakristo wachomewe makanisa? nawasilisha.
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Tengeneza heading yako vizuri afu uje tena!
   
 3. R

  RC. JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 446
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unaruhusiwa kuedit mkuu.
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kuna uwezekano mkubwa kuwa Wakristo wamechoma wenyewe kanisa kama mbinu ya kuzuia watu wasiujadili Muungano.
   
Loading...