Kesi ya Hamad Rashid: CUF waitwa mahakamani wakajitetee "KWANINI WASIFUNGWE" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya Hamad Rashid: CUF waitwa mahakamani wakajitetee "KWANINI WASIFUNGWE"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by hasan124, May 26, 2012.

 1. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ile tamthilia iliyotokea kujichukulia umaarufu mkubwa nchini na inayoendelea ya Anguko la chama cha wananchi CUF kisiasa, imechukua sura mpya siku kadhaa zilizopita baada ya Kamati Kuu ya Chama hicho kuamriwa na Jaji Agustino Shangwa kufika Mahakamani mnamo tar.21-June-2012 kujieleza "kwa nini wasifungwe kwa kukiuka Amri ya Mahakama na kuwatimua MHE. Hamad Rashid na Washirika wake?
  Mtazamo halisi WA Kesi hii unaelekea kuielemea CUF baada ya wakili wao Taslima kuwasilisha Utetezi "DHAIFU" mbele ya Jaji husika hivyo tutaraji kumuona MHE. MAKAMU WA Kwanza WA Rais Zanzibar akiburuzwa mahakamani na ving'ora vyake kujitetea kwa nini asifungwe.

  Source: mimi mwenyewe
  ADC -DIRA ya Mabadiliko.
   
 2. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mhm!Ngoja tusubiri tuone itakavyokuwa.
   
 3. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Itawadia tu usihofu.:lock1:
   
 4. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Teh teh..ndio maana mkaanzisha ADC eh?? Wana-CUF karibuni CHADEMA.
   
 5. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  sheria msumeno

   
 6. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Anaburuzwa lini mahakamani?

  Halafu bendera yenu mbona inafanana na ya CDM?
   
 7. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kinachofanana ni rangi tu lakini muundo sio havifanani.......vinginevyo labda mngetushauri tutumie rangi ya Magamba ambayo kwa kweli tusingewaelewa KAMWE!! Kifupi tunaaleji nayo.
   
 8. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  Mkitaka kuwafunga huku Tanganyoka watahamia nchini kwao Zanzibar
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hivi I.D.S bado hakijaolewa tu kama wenzao CUF wameolewa na CCM au I.D.S wanataka kuolewa na CDM?
   
 10. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  I.D.S ndio mnyama gani? Kwani na wewe ushaolewa?!!
   
 11. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kikubwa discipline hapo, hata wasipofungwa ikadhihirika tu wao ndio wamepindisha sheria, then wakatandikwa hata fine itakua sawa tu......ni imani yangu kwa kuwa wako ktk Ndoa....Mr. Ccmfsdi hatokubali kumpoteza laazizi wake ilhali yy ndio kashikilia rungu.
   
 12. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Utetezi dhaifu wa wakili wa CUF ulikuwaje hebu tupe hints au ikiwezekana full doc.
   
 13. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu rangi za magamba ni rangi tu have nothing to do with your ideology and philosophy.
   
 14. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  A.D.C lini na nyie mtafunga ndoa?
   
 15. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Suala sio kufunga Ndoa, hapa tunatizama nini wananchi wanahitaji......Ile SERIKALI ya umoja WA KITAARIFA Zanzibar ilitokana na kura za maoni kutoka kwa wananchi. Wananchi WA Zanzibar ndio waliamua wawe na SERIKALI ya Umoja WA Kitaifa, Tatizo hapa ni hawa Ndugu zetu WA CUF kushindwa kuwaelewesha waTz hali iliyopelekea kila aliyeambiwa wameolewa basi akaridhia. Narudi
   
 16. C

  Cupid 50mg Member

  #16
  May 27, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh mh,!!! IDS ndiyo nn?
   
 17. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Episode 2,comming soon!
   
 18. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Briefly ni kwamba aliwasilisha utetezi wao kwamba hawakupata ile court order in time.....kwa majibu WA wao ni kwamba court order ilifika wakiwa wameshafanya maamuzi Yao, lakini in Reality Court order ilitoka same day kwenye saa4 HIVi ASUBUHI na wao walifikia maamuzi ya kuwatimua Hon. Hamad na wenziwe by saa 9 mchaNA. At that time ile order ilishafika CUF Makamo Makuu pale Bugurini wakaikataa then wakili WA Hon. HAMAD Rashid akafanya jitihadi za kuwahi ndege na kupeleka Zanzibar ofisi za CUF ambapo ilipokelewa around saa7 mchaNA, ambapo Baraza kuu lilikua linaendelea na Kikao pale Masons Hotel. Inamaana hakukuwa na MAWASILIANO yeyote frm their office to that meeting? b4 that hukumu Yao feki?
  Na hata muda waliomuita MHE. HAMAD Rashid kujieleza ambapo ilikua ni kwny saa 8hv mchaNA alifika na copy ya Order hiyo ya mahakama and still wakamjibu hawaitambui. So in reality hawana pa kuchomokea, They r just foolin theirselves.
  Nitajitahidi nipate THA whole doc then niwamwagie hapa. Mpate kujua mbovu na Mbichi.
   
 19. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hata ukileta humu JF unapoteza muda wako tu wewe Hamadi Rashidi, vipi Pinda yupo? CCM ni noma sana wamewaoa CUF bado nyie au wewe unasubiri ndoa kwa CDM.
   
 20. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ofcoz ile ni rangi tu na ndio Maana haiku kuwa na option nyingine coz rangi zilizopo duniani ndio hizo hizo tu, tunatizama matakwa zaidi ya walio wengi, Kama ujuavyo chama cha kisiasa sio cha MTU mmoja hivyo ni vyema mkasikilizana na wengi wape, AMA hujui Hilo? Lakini pia uozo WA chama tawala ndio unaondoa Thamani ya rangi zile hasa katika Nyanja ya kisiasa. Lakini pia kumbuka kwamba ccm walijipangia Bendera Yao ile kutokana na Siasa za kipindi Kile, Siasa za mwalimu na washiriki wake, Siasa za chama kimoja, Siasa za Kijamaa.
  imani ya mwalimu kwamba Nchi ilipatikana bila umwagaji damu, ndio Maana hawa kutoka hata kutumia rangi nyekundu kwa mfano. Lakini in reality kuna watu wengi tu washapoteza Maisha Yao wakitetea TAIFA Lao hili. Tangu Enzi za kina Kinjekitile hadi vita vya Nduli, mauaji ya wanaCUF ya 2001 hadi sasa tunavyoshuhudia Ndugu zetu Zanzibar wanavyochezea mabomu huko tangu jana.
   
Loading...