Operation za chadema hazina mashiko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Operation za chadema hazina mashiko

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by chuki, May 26, 2012.

 1. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Katika kuchambua mambo, imegundulika kuwa Chadema imezindua Operation Nyingi sana, ikiwemo operation vua Sangara ambayo bila kufikiri kuwa eneo kama kanda ya kati kwa Wanyaturu, wanyiramba na wagogo sangara ni Msamiati wanousikia na wachache waliowahi kula au kuona, operation hii ikafa kabisa na haitojirudia-WALICHEMKA kwa kuiga THINK TANK YA CCM.

  Wakaibuka na Operation ya maandamano(naiita hivyo kwakuwa baadhi ya maandamano hayajulikani sababu mpaka leo) hapo tukashuhudia Viongozi wakiwaonya kuepuka kupoteza muda Watanzania wote sio WAMASAI.

  Wakajisahau wakaenda ARUSHA kuwadanganya WAARUSHA na WACHAGA mpaka baadhi yao wakafa-Ikakosa MASHIKO mpaka leo hawatorudia.

  Wameibuka na CHUKUA MAGWANDA MANNE CM4 ( Haijulikani maana yake nini maana imekaa kimafumbo mafumbo kama kichaga kilivyokigumu kuuandikwa).

  Tena safari hii wako Dar (leo) wananchi wanawaona kama wafa maji wanaotaka kujinasua, falsafa yao ya nguvu ya umma inazidi kufifia kama jua la jioni, aibu na kujisifu kote.

  Inasemekana leo watakaohudhuria ni vikundi vya vyama vya wanaotoka kanda ya kule ili kuepusha aibu tena wamehimizwa kufunga biashara zao.

  Dar watu wako bize, wanatafuta riziki zao za kila siku, hawawezi kupoteza muda wao kusikiliza watu wanaofanya wenzao "RUZUKU"-OPERATION HII MPAKA HAPO KWA DAR IMESHINDWA.

  Kajipangeni tena.
  "Chadema kitakufa kabla ya 2015"-Wasira.
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Hongera mkuu nenda kachukue mshahara wako mkuu!
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Zina mshiko mbona unazishobokea kwa thread?
   
 4. a

  annalolo JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaani wewe naogopa ban tuu ningekupa jibu moja ungezimia. kinachokuuma nini? wewe kaoge ulale
   
 5. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  niposho tu ndio wanazitengenezea operation kila cku
   
 6. Ishina

  Ishina Senior Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbona mna-tapa-tapa:A S cry:?!
  Kama operations za CDM hazina mashiko, mbona Chupi zinawabana sasa na pressure zinapanda na kushuka?!! MImi nadhani operations hizo zina mashiko, ndo maana wachumia tumbo kama wewe mkapata Ajira (kutoka kwa Nape) ya kutupia post/thread za namna hii hapa JF.

  Tulia ndugu yangu unyolewe, wembe utakukata!
   
 7. v

  vngenge JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Potezea basi. Kwanini unaumiza kichwa kwenye kibodi
   
 8. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  kama hazina mashiko ya nini unaweweseka mjomba, kaa utulie
   
 9. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  ..............................
  download.jpg
   
 10. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Najua tu we upo Ulaya ngoja ukiona picha jioni hii...najua utatuachia vumbi tu hapa!!
   
 11. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  chuki=kijiba=ushakunaku=umbeya=presha=ujinga=use..e=ushamba=uchawi=uoga=ccm.
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kuna vitu umesahau ama kwa makusudi au kwa uelewa mdogo. Kanda ya Ziwa ni moja ya ngome kubwa ya CHADEMA na huwezi kuongelea mafanikio au uwepo wa ngome hiyo bila kutaja operation 'sangara'.

  Pili, hoja za wachaga, mara watu wa Arusha au watu wa kaskazini sasa zinapanguliwa kwa vitendo. CCM kama kawaida walidhani CHADEMA hawatipiga kambi Dar, sasa wamekuja na leo watawaagesha CCM na maji baridi pale jangwani.
   
 13. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  images (5).jpg
  Pamoja sana mkuu!​
   
 14. RICARDO KAKA

  RICARDO KAKA JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 867
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  hata kama hazina mashiko wewe inakuuma nini....!!!!! tulia ndugu yangu acha kurukaruka.
   
 15. RICARDO KAKA

  RICARDO KAKA JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 867
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  hata kama hazina mashiko wewe inakuuma nini....!!!!! tulia ndugu yangu acha kurukaruka.
   
 16. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  hiyo red hapo ndo mwake. imefanana nae sana
   
 17. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Haswaaa! Maana kusuka kumewashinda!
   
 18. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #18
  May 26, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Madhara yake yalionekana kwa watu wengi kujiunga na CDM na kuongeza idadi kubwa ya wabunge wa CDM 2010

  Leo hii hakuna kitu kinaitwa CCM katika kanda ya Kaskazini na ushindi wa Arumeru mashariki ulitokana na hii ya Arusha

  Hii ilikamilisha mazishi ya CCM Arusha, iliongeza ushindi wa CDM Arumeru Mashariki na kuhamisha wanachama kutoka CCM walioichoka CCM huko Mwanza na kaskazini

  Dar tupo busy SAWA lakini tutahudhuria kwa wingi ili kuiua CCM hapa mjini, matokeo yake yataonekana mwaka 2015, CCM itakapozikwa rasmi katika jiji hili


   
 19. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Tukisema Chama cha wahuni mtasema nini?
   
 20. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #20
  May 26, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Sio Darisalama, labda maeneno ya Ubungo na kuelekea Kibaha ! sitakubishia lakini mjini a BIG no!
   
Loading...