CHADEMA Wafunga Barabara Kwa Saa 2 Baada ya Mkutano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA Wafunga Barabara Kwa Saa 2 Baada ya Mkutano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wikolo, May 27, 2012.

 1. w

  wikolo JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 801
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Habari hii ipo kwenye blog ya Mjengwa akiwa ameambatanisha na picha za kutosha. Inasema kwamba baada ya mkutano kumalizika pale jangwani, wanachama na wapenzi wa CDM walitembea mpaka kinondoni ziliko ofisi za CDM na kusababisha barabara kufungwa kwa takribani masaa mawili.

  Ina maana amri aliyokuwa ameitoa kamanda Kova ilikuwa ni ya kufikirika zaidi kuliko uhalisia? Haipendezi kabisa unapokuwa na mamlaka halafu ukawa unatoa amri ambazo utekelezaji wake ni mgumu kiuhalisia. Sijui unajisikiaje baadaye unapokaa na kuona kile ulichokikataza kinafanyika! Viongozi wa uma wanapaswa kujifunza katika hili!

  ===============
  [h=3][/h]
  [​IMG]
  Wananchi wakitembea kwa mtindo wa maandamano kutoka eneo la mkutano jangwani kuelekea ofisi za CHADEMA kinondoni.
  [​IMG]
  Mh.Mbowe na Mnyika wakiwa wamesimama kwenye gari wakati wa matembezi wakitoka kwenye mkutano
  [​IMG]
  Godbless Lema akiwa juu ya gari huku akishangiliwa na vijana jioni baada ya mkutano
  [​IMG]
  Mbowe akiwatania wanachama ofini kinondoni baada ya wananchi kuanza kudai chama kimfukuze John Shibuda.Alikuwa akijifanya hasikii wanachosema na hapa anajaribu kuwasikiliza zaidi.hata hivyo Mbowe aliwaondoa wasiwasi na kusisitiza kuwa chama kinao utaratibu wa kushughulika na viongozi wanaokiuka maadili ya chama na kuwaomba wawaamini kama viongozi kuwa wanaouwezo wa kulishughulikia jambo hilo na mengine
  [​IMG]
  Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwaaga wananchi waliokuwa wamefurika makao makuu ya chama kinondoni walikofika wakitokea jangwani usiku huu
  [​IMG]
  Sehemu ya umati uliowasindikiza viongozi wa chadema toka jangwani hadi kinondoni.wamesambaa yapata saa 2 usiku.
  [​IMG]
  Viongozi wa chadema wakifurahia kadi nyingi za CCM zilizorudishwa leo jioni kwenye mkutano
  [​IMG]
  Sugu akimwaga mistari.
   
 2. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ungeongezea ... Na zaidi ya yote, kwa vile hayakuingiliwa na Policcm yalikuwa ya amani utulivu mwingi!
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nimeangalia picha front page gazeti la mwananchi inayohusu mkutano wa jana sijaielewa kama ya siku za nyuma vile
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  nimefarijika sana sana na utulivu wa watu waliohudhuria mkutanao wa jana na pia hekima na maneno ya viongozi wa chadema....hakika juhudi zenu hazitapotea bure..tukutane 2015
   
 5. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Kila siku tunasema, polisi ndio wanasababisha vurugu. Hakuna aliyebakwa, wala kuibiwa.
   
 6. i

  imamu Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Polisi waanze kujifunza kuwa hao CHADEMA wanaweza kuwa mabosi wao siku yoyote kuanzia 2015. Waanze kuwaheshimu. Haya ndio mambo watu wakisikia wabaya wao wamechukua dola wao wanaacha kazi.POLICE CHANGE NOW, START TO RESPECT OPPOSITION PARTIES.
   
 7. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Intelijensia ya kamanda kova na watu wake wa karibu jana ililalia kwenye harusi ya mtoto wa DCI Manumba,tulikuwa nae pale Police Officers mess hivyo ingekuwa ngumu kufanya lolote
   
 8. B

  Benaire JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,947
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hayakufika masaa mawili....kwa sababu traffic magomeni mikumi aliwasubiri mpaka wafike na kupita bila kuruhusu kwanza gari nyingine baada ya kupita...morogoro road ikawa shwari na mambo yakaendelea kama kawaida.....waliochelewa kutoka uwanjani ni mashahidi wa hili.
   
 9. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Tanzania ya CDM, itakuwa na Amani tele...mfano wa kuigwa
   
 10. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa kifupi haijawai tokea[SUP]1[/SUP].

  [SUP]1 [/SUP]Molemo (2012)
   
 11. M

  MTENGE Member

  #11
  May 27, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hujajua kuwa hatuna Police Tanzania, ili kuwa na professional (taaluma) lazima mtu ajifunze kwa kipindi kisichopungua mwaka mmoja, hawa polisi wetu wanajifunza kwa miezi, tena hawana mtaala, ni kozi gani isiyokuwa na mtaala?
  By the way Wana macho hawaoni, wana masikio hawasikii, angalia nyumba zao ni aibu mabanda ya MADC yakufungia mifugo ni mazuri kuliko malazi yao, Je ukienda kwa wadoss wengine
   
 12. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,015
  Likes Received: 2,661
  Trophy Points: 280
  Wale waliokuwa wanasema fujo zitatokea wako wapi?
  CDM huwa hawana fujo wenye fujo ni nyinyiem na police.
   
 13. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Cjui ccm ipogo 2?
   
 14. b

  blue arrow JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa umati huo lazima magamba wamesalute mbaya ila mbona kama naona kusika dola ni ngumu sana kwa jinsi ambavyochadema wanafanya ningependelea hayo yote yangefanyika 2014?
   
 15. b

  blue arrow JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  makanda wako kikazi kweli2
   
 16. y

  yaya JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usipate shida mkuu, just linganisha ulichokiona jana pale jangwani ambapo Mhe. Mbowe alipabadili jina na kupaita "CHADEMA SQUARE" halafu vuta hisia ya picha za jana na hiyo unayoiona katika gazeti la mwananchi, utapata jibu.
   
 17. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Viva chadema.
   
 18. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Sikubanduka kwenye tv mpaka saa 4 usiku nikisubiri rewind
   
 19. L

  Luushu JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 595
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 60
  Vua gamba vaa gwanda ndio mtindo wa kisasa VITA CHADEMA,VIVA GWANDA,VIVA DEMOCRATIC REPUPLIC OF OF TANZANIA
   
 20. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tujihadhali isije ikawa umati wa wapambe wasio piga kura!!!
   
Loading...