Umati wa cdm jangwani waichanganya ccm.

Na wafanye hima maana wananchi wamechoka na sarakasi zao. Mara maisha bora kwa kila mwananchi, na sasa tumeweza tunasonga mbele wakati matibabu ya wabunge India. Wameweza kuiba tu kodi zetu na kuwauzia rasilimali zetu wageni
 
Hata sie wanamageuzi umati ule umetuchanganya sembuse chama tawala! Kuna kila sababu ya ccm kujipanga upya na kuacha blah blah maana sasa hapa tulipofika panatisha, binafsi nilitarajia kuona hali hii kuanzia 2016 lakini imekuwa mapema mno kiasi kwamba watawala wanaona kama wapo ndotoni.
 
Wahofia kukabidhi nchi 2015.
Mbona hofu wanayo tangu siku nyingi? Na jana ilikuwa ndo sendoff ya ccm, nadhani kama ulikuwepo CHADEMA SQUARE (Jangwani) uliona walivyopewa nasaha za kuishi maisha mengine ya baada ya 2015. PIIIIIOOOOPPPPPLLLLLEEEESSS POWERRRRRR.

 
kutokana na promotion iliyokuwa imefanywa na cdm sisi ccm hatuna cha kuhofia
 
kutokana na promotion iliyokuwa imefanywa na cdm sisi ccm hatuna cha kuhofia
Magamba kweli vichwa vigumu kuelewa hakuna mtu aliobebwa kwa fuso, hakuna aliopewa 10,000= kuhudhuria taarifa ni kawaida kutoa kwa wanachama.
 
Ccm kuishney,wafanyakaza wamekuwa masikini wakati wanasiasa ni matajiri,sijui wafanyakazi ccm itawapa nini wairudie ccm.
 
Back
Top Bottom