Cdm ndani ya bagamoyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cdm ndani ya bagamoyo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kurunzi, May 27, 2012.

 1. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Leo nilipokuwa natoka zangu shamba nilikuta kunamkutano wa wa CDM unaofanyika shule ya msingi majengo ikabidi niweke pose pale japo kusikiliza moja mbili, Bagamoyo panahitaji nguvu ya ziada pamoja na hali ya hewa iklikuwa pana mvua bado nguvu ya ziada inatakiwa watu si wakuridhisha.

  Nimefanya mahijiano na watu kadhaa wanasema tatizo wengi hawkupata taarifa hawakujua wengi ya waliyohudhuria wamekuja baada ya kusikikia mkutano umeanza.

  Hatamkutano umechelewa sana kuanza umeanza saa kumi na nusu.

  Kijana Husein Katibu na mwenyekiti wajimbo jipangeni vema, kazeni buti kwani kaitka maeneo yanayotakiwa nguvu ya ziada.
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  mikoa ya pwani huwa wanachohitaji maishani ni ubwabwa wa nazi na nyama na uji wa pilipili manga nyingiii na si kingine
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kwa bagamoyo sishangai kwa kuwa ubwabwa wa nazi haukuwepo
   
Loading...