mkapa yuko tibc now | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mkapa yuko tibc now

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mshana org, May 27, 2012.

 1. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  jamani nimesikia mkapa anahojiwa tbc nimepigiwa cm na jamaa yangu ila hajaniambiwa wanazungumzia nini.mwenye taarifa atupatie
   
 2. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 255
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hebu muulize vizuri huyo aliyekupigia simu, Sio unakurupuka kuuliza JF wakati jibu unalo. Sie huwa hatuangalii hiyo TBC, Labda mpaka tupigiwe simu kama wewe ulivyopigiwa.
   
 3. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kama ni marudio ya interview yake ya wiki iliyopita ni nzuri sana, kwani mmachinga anafunguka kishenzi juu ya utawala wake na mapungufu yake. Interview hii ingemsaidia sana huyu mkweree kujifunza good governance hasa jinsi Mkapa alivyokuwa anafanya teuzi zake tofauti kabisa na huyu mkweree!!Amenifurahisha pale anapokili mapungufu ya kutofiuatilia utendaji wa mashirika yaliyobinafsishwa kama sheria ilivyotaka ifanyike!!
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mkapa alikuwa anajua nini anafanya na alikuwa visionary sana kuliko huyu wa sasa yaani hata haelewi nikwa nini kawa rais na urais maana yake nini basi ili mradi tupo tupo tu na siku zinaenda ...aaah ni upepo tu utapita
   
Loading...