Dr. Slaa Almanusra Ajiuzulu Chadema, Sasa CCM tumechoka!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa Almanusra Ajiuzulu Chadema, Sasa CCM tumechoka!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAFILILI, May 27, 2012.

 1. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Leo nimezidi kuumia kukuta gazeti letu kongwe, MZALENDO linakuja na vichwa visivyo na mvuto mbele ya jamii ya watanzania wa siku hizi:
  1. Dr. Slaa alitaka kujiuzulu Chadema
  2. Chadema Wamgwaya Shibuda
  3. Uchumi wa Tanzania wavuka lengo mwaka 2011.

  Kiukweli mhariri wa gazeti hili anakula mshahara pasipo kutoa tija; hivi vichwa wa habari haviingii akilini kwa watanzania kwani uhalisia ni tofauti.

  NI VIZURI WANACCM TUKAE CHINI NA kupanga mbinu mpya za kukabiliana na CDM, ikibidi kama noma iwe noma, UKANDA WA PWANI wasifanikiwe kufanya mikutano, Mtwara na Lindi suala la Korosho litatuumbua.
   
 2. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mzalendo ni la chama au serikali?
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Ngoja waje wanaccm wenzio mpeane mbinu. Ile blogu ya Nape inaitwa jamaa or something, ungepost kule pia.
   
 4. AcinonyxJubatus

  AcinonyxJubatus Senior Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Too late mtanzania mwenzangu, kimbunga cha movement for change kinavuma kila kona ya nchi, hata zanzibar. fanya utafiti mdogo tuu utashangaa.
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wameona gazeti haliuzi bora waandike uzushi
   
 6. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Gazeti la Nyinyi M
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Kamanda upo?nilikumis siku kadhaa ulikuwa wapi?
  Jana ulitembelea mitaa ya jangwani?
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Walimwambia afunge ndoa au?
   
 9. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ninahakika kwakua ukweli unajulikana wa kipi kiliendelea jangwani a.k.a chadema square hata wana CCM a.k.a NYINYI-M hawatalinunua leo,maana nafs zao zitawasut
   
 10. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mafilifili ni kweli uandishi mwingine hata aliyekutuma anaweza kushangaa kwa jinsi ulivyo bogus!!!

  Na ni kweli kama mtu ulitaka asile na akafanya timing chakula akakikuta kipo mezani unakula, bila karibu akanawa na kuanza kula basi inabidi uwe jasiri umpukute mkono tu umwambie asile na aaondoke, hali kadhalika CCM akijifanya kuichekea CDM muda mchache kabisa itakuwa ngome kuu ya upinzani kama ilivyo kaskazini.

  Hiyo ndiyo fitna kama ukiamua kufanya na kupaka matope.
   
 11. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Bora MAFILILI muda mwingine uwa una mtazamo chanya!ngoja waje wenzako c.c.m washadadiaji wa ku copy article za magazeti na ku paste kama kina Ribosome uone watakavyokushambulia
   
 12. b

  bohha Member

  #12
  May 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vuvuzela hao wamekosa cha kuandika
   
 13. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  yaani nikafikiri ni habar yenye kina kumbe uzush mtupu na bahat mbaya siku hiz magazet hayaamiki sana sana yamekua kama ya shigongo
   
 14. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,458
  Trophy Points: 280
  Rafiki, kwani muda huu kuna tofuati kati ya hayo mawaili?
   
 15. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,458
  Trophy Points: 280
  Nasikia magamba wana bajeti ya kulinunua gazeti lao maana hata nakala 5,000 huwa haziuzwi nationwide kwa siku.
   
 16. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ni la chama cha magamba mkuu.. tuache tu kwani wao wana mamlaka zote, polisi, majeshi n.k hila sisi tuna mungu na nguvu ya umma mungu atatusikiliza 2015......
   
 17. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  This is not a best strategy.
  If CCM will embarks on fighting CHADEMA, they will not save the people.
  MY TAKE: Kabiliana (fight) with CHADEMA by making MAISHA BORA KWA KILA MTU a reality
   
 18. only83

  only83 JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mzalendo = udaku
   
 19. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Waziri mkuu mstaafu Sumayi aliwahi kuonya wakati wa mchakato wa uraisi kupitisha jina mgombea kjwa tiketi ya CCM,alisema"ni hatari sana kwamgombe anayetaka urais kutumia njia ya kuvinunua vyombo vya habari ili kuwa maliza wapinzani wake,akipata madaraka ana uwezo mkubwa wa kutumia mtutu wa bunduki kwanyamazisha wapinzani wake"

  Mbinu zote zimetumika,lakini wananchi hawasikii,udini umetangazwa sana watu wameziba masikio na hoja inayo tawala kwasasa ya ukanda nayo ni kama prevailing wind,kwani imekosa support toka kwa wananchi,wajiandae na hoja zingine za uzushi na mwisho wa siku itakuwa sizitaki mbichi hizi.
   
 20. NG'OMBE

  NG'OMBE JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2012
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 362
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Population ya mikoa yote ya Pwani ni sawa na mkoa mmoja tu wa Mwanza ambapo tayari mmeshahari. Hamtapona safari hii pona yenu ni kujisalimisha tu.
   
Loading...