Baada ya kivumbi cha M4C, NAPE kuja na "Vua gwanda na Gamba vaa Uzalendo" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya kivumbi cha M4C, NAPE kuja na "Vua gwanda na Gamba vaa Uzalendo"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Remote, May 27, 2012.

 1. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  INATOSHA!! Mmewadanganya sana
  watu, utadhani wakivaa magwanda
  matatizo yao na ya nchi
  yanakwisha!! Mnatafuta biashara ya
  magwanda yenu!! Karibuni nazindua
  operation ya VUA GWANDA NA
  GAMBA VAA UZALENDO!!
  kinachopungua kwetu, Afrika na
  Dunia nzima ni UZALENDO, sasa
  tunakwenda kuwavua magwanda
  na magamba na KUWAVISHA
  UZALENDO na ndo DAWA
  INAYOHITAJIKA DUNIANI LEO. Stay
  tuned!!!! Soon operation hii itaanza
  tufute uongo!

  Source: Nape Nnauye post kwenye group la TANURU LA FIKRA facebook

  fuat link hii hapa
  m.facebook.com/groups/151190748285020?view=permalink&id=331768976893862&comment_id=332096053527821&_rdr
   
 2. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Mwache Nape aendelee kujifariji na vijana wake kule facebook.Jk na ccm yake alushaanzisha mengi na yote kafeli(Ari mpya kasi mpya/Maisha bora kwa kila mtanzania/Kilimo kwanza/Kuvua magamba)hii misemo yote utekelezaji wake ni 0.01%
   
 3. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  hata hiyo 0.01 umewapendelea sana. Kiongozi we huoni ma misemo yote yanatekelezwa vise vesor?
   
 4. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni kama vile anatafuta kuja na staili, bahati mbaya kila wimbo wake atakaoimba hauchezeki!
   
 5. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Nape na CCM yao kwa Kuiga!!!, mlikuwa wapi kuanzisha operesheni ya kwenu mpaka muoneshwe njia na chadema ??. Alafu mwenyewe anaona kafikiriiiiiia! Doh.
   
 6. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Eti vaa uzalendo!! Kwa uzalendo upi ambao yeye anao?! Wataweweseka sana! A dying horse, kicks hard!
   
Loading...