Jukumu la wananchi kwa M4C | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jukumu la wananchi kwa M4C

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mjomba wa taifa, May 27, 2012.

 1. Mjomba wa taifa

  Mjomba wa taifa JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Viongozi wa taifa wa CHADEMA wanazunguka nchi nzima kuhakikisha chama kinajikita na kuweka mizizi kila kona ya nchi ili kurahisisha kuchukua dola mwaka 2015. Ni jukumu la wananchi wa maeneo husika mara baada ya viongozi wa taifa kupita maeneo yao, wajitahidi kufungua matawi na ofisi hai za CHADEMA ili vuguvugu hili liwe na tija. Kwa yale maeneo korofi ambayo magamba yamejikita tafadhali tuombe nguvu makao makuu ili makamanda wa anga na ardhini wafike huko kusaidia nguvu. Namba za simu makao makuu zinajulikana 24 hrs.
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Pamoja sana Comrade saa ya Ukombozi imewadia tutakuwa nanyi bega kwa bega na sisi tutapambana na magamba popote walipo
   
Loading...