Maisha baada ya Muungano kuvunjika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha baada ya Muungano kuvunjika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zanzibar huru, May 29, 2012.

 1. z

  zanzibar huru Senior Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hivi kuingia Zanzibar itakuwa kwa visa au watakuwa members wa EAC hivyo kuruhusu free movement?

  Na wazanzibari walioamua kuinvest Tanzania bara itabidi waishi kwa residence permits au itabidi wafanye mitihani ya kuwawezesha kuwa raia wa Tanganyika au watapewa free pass kama wahindi, waarabu. wanyarwanda na wengine ambao sasa ni raia wa Tanzania

  Je kibiashara zanzibar wanaweza kuwa soko kubwa la yale magari yetu ya Nyumbu?
   
 2. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  there is no life without union!
  Muungano sio kitu chepesi kuvunjika kama unavyoifikiria,kuvunjika kwa muungano kunahitaji umwagaji wa damu.sina uhakika kama wewe na mimi tutabaki salama.
   
 3. z

  zanzibar huru Senior Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwani Muungano si ni mkataba?

  na naamini ipo get out clause au?

  Tatizo ni kuwa huo mkataba unafichwa ili wanancho tusione

  lakini tuseme Zanzibar wameamua kujiondoa kuna mtu wa kuwakatalia?
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,901
  Trophy Points: 280
  huyu kafunga msuli amekaa ndani anakunywa urojo anaongelea maisha baada ya muungano hapa.. ccm hawapo tayari kuvunj kitu chochote
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  muungano huu ni zaidi ya mkataba,kumbuka kuna muingiliano mkubwa wa damu ya mzanzibar na mtanganyika.wahuni wachache hawataweza kuvunja muungano kwa maslahi binafsi halafu mambo yakawa shwari tu.
   
 6. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Zanzibar hatuwataki kwenye jumuia ya Afrika Mashariki, waunde jumuia yao na Somalia. Uamsho na Al Shabaab wote ni memba wa Al Quaeda kwa hiyo watacope vizuri sana. Hivi mtu wa Tanzania bara utaenda Znz kufanya nini baada ya muungano? Kisiwa tunacho cha Mafia, tuna fukwe kibao nzuri kuliko Znz, tuna mahoteli ya kitalii hai ya dola 10,000 per night kule Grumeti, tuna meli mpya kuliko zao chakavu kama Spice Islander, tuna umeme ambao wanatumia wao, tuna maprofesa wanafundisha SUZA... Je tutaenda ZnZ kufanya nini? Labda kununua cocain na kuwala mashoga
   
 7. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Muungano hauwezi kuvunjika;wale watu 200 waliokuwa wanaandana wakati wa weekend ni wanafiki. Serikali ya Jamshid ilipinduliwa na Okello. Mwalimu Nyerere ndie aliyeirudisha kwa Karume.[Na haya mambo yote wanafafika hawa watu wanaoandamana].
  Wasi wasi ni kama tu huyu Waziri wa Mambo ya Ndani wa sasa anayo hekima ya kukabiliana na hawa Mujahidina. Kwa sababu naona kama vile haya maandamano yana uhusiano,kwa njia moja au nyingine,na Waziri kubadilishwa.
  Nawasilisha.
  Kwa sababu imeona wale watu wameandamana,wamewekwa ndani;tumedhani matatizo yamekwisha;halafu ghafla tunaona yameibuka tena.

   
 8. z

  zanzibar huru Senior Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Great Thinkers...
   
 9. S.Liondo

  S.Liondo JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 2,160
  Likes Received: 675
  Trophy Points: 280

  Zanzibar ni kasoko kadogo sana. Huwezi kukategemea kuinua uchumi wa taifa kama hili, labda uchumi wa mtu binafsi.
   
 10. m

  mkizungo JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  e
  my friend,,,usiombee hiyo balaa,,,watu wanaongea tuuu hawajui impact,,,,,haiwezekani muungano kuvunjika,,nani anataka umvunjikie aende the hague kwa mauaji yatakayotokea,,,,,,,its not so simple,,,,,lazima kutakuwa na blood shed,,,,nani afe,,,,,,,unategemea kuona jeshi lina sarrender,,,,,,kwa faida ya nani.....hapo ndio utalijua jeshi na kuliona kwa macho ya nyama,,,,,tusali sana yasitokee ziwe ni kelele za wenda uwazimu tu,,,,,,,,sipati picha,,,,,
   
 11. z

  zanzibar huru Senior Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sasa yale NYUMBU yutamuuzia nani?
   
 12. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  du mkuu umeua kabisa si kamchezo chao hako wanataka kujitenga ili tusiwaone walivyowaerevu
   
 13. M

  MORIA JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Acha kutisha imevunjika rusia nini huu muungano...waacheni wazenji waendelee na vitimbi kwa mgongo wa dini...tunawasubiri bara maana wengi wana asili ya bara..
   
 14. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mimi siyo Sheikh yahaya, lakini kwa uelewa wangu mdogo, wazanzibar wakidai haki ya kujiamulia mambo yao na mstakabali wa taifa lao, badala ya kutafuta njia ya kidiplomasia ya kulitatua tatizo hili na kuendelea kuchukulia kama ni kikundi cha wahuni, kutaifanya amani ya zanzibar itoweke kabisa kabisa.
   
Loading...