Karume:Muungano kama koti likitubana tunalivua. je wanzanzibar bado koti linawatosha?
Kwa maneno mengine yeye na Lissu wanaongea lugha moja ila maneno tu ndiyo tofauti ila nia ile ile .Between huyu kachukua ardhi sana ya wazanzibar wanalia hovyo kwa ufalme wake je ni lini ataona aibu ?
Mkuu, umeongea kitu cha kufikirisha sana!Wanasiasa waongo sana. Maalimu yuko wapi siku hizi? Amepata ile kitu roho inapenda kawasahau wazenj
.....naam, kati ya marais wa zanzibar wa kihistoria, ni huyu jamaa, hayati Karume; achana na galasha zingine zimekalia kuapa na kuwa mawaziri wa bara(Tanganyika); BRAVO Karume, sijafikiria kama alikuwa anakula urojo huyu.Karume:Muungano kama koti likitubana tunalivua. je wanzanzibar bado koti linawatosha?