Nani kampa madaraka Peter Kisumo ya kumvua Sabodo uanachama wa CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani kampa madaraka Peter Kisumo ya kumvua Sabodo uanachama wa CCM?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Seif al Islam, May 28, 2012.

 1. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Akizungumza na waandishi wa habari jana Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa CCM mzee Peter Kisumo alidai kuwa CHADEMA wanaye mwanachama wao ambaye akilala na kuamka anatangaza kukipa chama hicho pesa za kujiendesha na kwamba CCM haiwezi kuendeshwa kwa staili hiyo.

  Cha kujiuliza hapa ni lini Sabodo alichukua kadi ya CHADEMA? Na pia kama Sabodo hajawahi kuchukua kadi ya CHADEMA hadharani mzee Kisumo anaoushahidi gani kuwa Sabodo ana kadi ya CHADEMA?

  Na kama hana ushahidi wa kuthibitisha hilo ni nani aliyempa mamlaka ya kumvua uanachama sabodo ambaye mara zote amejitambulisha kuwa kada wa CCM?
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hata kwa akili za kawaida tu huwezi kusema bado sabodo ni CCM, yeye ni mwanachama mfu wa CCM hivyo halazimiki kuchangia maiti damu.
   
 3. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbona kwenye post yako sioni mahali ambapo Kisumo ametaja jina la Sabodo? Au ni hisia tuu?
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Huyo Kisumo ana tatizo la kumbukumbu - week kama mbili au tatu zilizopita CCM Morogoro walipata msaada wa kujenga visima toka kwa Mzee Sabodo. Hiyo style ya ccm anayoongea Kisumo ni ipi? Ya u-kigeugeu?
   
 5. s

  sawabho JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
   
 6. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Yule ni mzee wa tanu amezeeka akili yake ishaanza kuganda!
   
 7. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mimi nimesoma mara2 lakini sijaona jina la Sabodo mkuu we kwa sababu gani imekupelekea kumhisi mzee sabodo pekee mbona wafanyabiashara ni wengi wanaoisaidia Chadema.
   
 8. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mzee Kisumo hakua akimuongelea Sabodo, alikua anamuongelea Mzee Ndesamburo.....!!
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ndesa kafanyaje?
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mwanachama mfu ndo yukoje? Na hizo kadi za uanachama wafu zikoje?
   
 11. m

  matawi JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ukishindwa kugundua anayesemwa ni sabodo lazima. Form 4 ulipata zero
   
 12. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Mimi nilimsikia kwa masikio yangu Ch 10 saa moja jioni akimtaja kwa jina Mzee Sabodo.

  Lakini nimeipenda hiyo "Mtu mwenye akili timamu hawezi kuchangia DAMU MAITI"!
   
 13. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  CCM NA WIVU WA KIKE KUENDELEZA VITUKO VYA KI-UKEWENZA KWA FEDHA ZA MZEE SABODO SASA KUKIHARAKISHA KABURINI LEO NA WALA SI MPAKA KESHO

  CCM ondoeni tangazo la huyo Mzee wa Magomeni kwa Mzee Sabodo haraka kabla halijawaingiza
  katika kitabu cha KASHFA ZA KIHISTORIA DUNIANI kwa UTAWALA WA KI-IMLA.

  Kitendo cha kumuondoa uanachama mtu ambaye hajatangaza popote kukihama CCM wala kujiunga na chama chochote cha USHINDANI nchini ni dhihirisho la WIVU-WA-KIKE kwa CCM litakaloliingiza kaburini kwa kasi ambayo WaTanzania wengi hatukuwahi kutarajia. Watch this space as l put dow this piece of warning no the moribund 'ruling' party.

  Jambo hili ni kwamba ama ni kwamba Mzee Kisumo ni MHIJUMU NAMBA MOJA WA CHAMA CHAKE AU HAKUA NA FACTORS ZOTE MEZANI KWAKE wakati ambapo alipokua akitoa huu uamuzi wa ki-imla ambao unapingana kabisa na misingi yote ya ki-demokrasia kote duniani.

  Hakika CCM kifanye hima kutupilia mbali huo uamuzi wa kibabe na kishabiki mno lakini lisilo na misingi yoyote wala mashiko kimantiki kwa akili za waelewa wengi nchini laa sivyo naona hatari kubwa mno tena sana kwa chama hiki UKUTA WAKE MKUBWA ZAIDI KUMEGUKA KWA CHAMA CHENU KITAIFA KOTE NCHINI kufuatia tendo hili lisilo na chembe cha busara ndani yake.

  Laana ya Mzee Sabodo ikidondokea CCM, kwa mtaji wa uanachama uliotukuka kwa miaka hiyo yote ya umri wa baba mwenye familia yake na wajukuu, naona WaTanzania huenda CCM kikakunja jamvi hata kabla ya 2015.

  Sisi Wana-CDM tusingependa CCM king'ooke madarakani kwa aibu kiasi hicho kwenda upinzani hivyo ushauri wa bure kwa watani zetu hawa ni kwamba uamuzi wa Mzee Kisumo NI SUMU YA MAMBA kwa chama chenu wenzetu mjihadhari!!!

  .
   
 14. S

  Satanic_Verses Member

  #14
  May 28, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ….Ifuatayo ni kauli ya Celina Kombani, Mbunge, Ulanga-Mashariki.....

  *****
  {
  "Ndugu zangu wa Ulanga-Mashariki, mimi kama mbunge wenu siwezi kutatua matatizo yote na hata Serikali haiwezi, hivyo nikatafuta wafadhili wanisaidie, ndiyo Sabodo akanipa visima 10 na ahadi nyingine"}
  *****

  SOURCE: UHURU,
  MAY 16, 2012
  ISSN: 0856-3896, Na. 6068,
  PAGE: 07
   
 15. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pamoja na kupata zero Form 4, tujilinganishe mimi na wewe sasa hivi tuone nani mwenye maisha yanayoeleweka pamoja na kwamba wewe ulipata one form 4.
   
 16. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  CCM kila mtu ni msemaji,umewasahau wale jamaa wa UVCCM mkoa wa Pwani?Hawa Jamaa(ccm)kwa matamko wanaongoza.
   
 17. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  We kama ulifeli form four ukapata zero usianze kujifanya una maisha mazuri. Huoni aibu kwamba bichwa lako ni la nazi? Mwanaume unaweza kujisifia kupata zero! Dah, kweli wewe ni ZERO! Maisha yako hata kama yakoje yatakuwa ya kuungaunga tu, chukua time bana.
   
Loading...