Chadema Tabora, Tumaini na salama ya Tabora. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema Tabora, Tumaini na salama ya Tabora.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Hossam, May 28, 2012.

 1. Hossam

  Hossam JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 2,363
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Vuguvugu na wimbi la mabadiliko ya siasa za Tabora yamefikia patamu. Kama Tabora imeamua kuikataa ccm inayoutafuna mkoa ni afadhali. Nchi hii hakuna wa kuikomboa ila watanzania wenyewe. Mungu yuko nasi tutaifikia Tanzania yenye neema soon.
   
 2. m

  mjuaji Senior Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tabora walichagua mwenekiti wa simba kuwa mbunge wa sasa wanajuta
   
 3. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  M4C itawafikia wa TZ wote,kuweni na subira kidogo.
   
 4. n

  ngaranumbe Senior Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Good news ever!
   
 5. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu fafanua kidogo habari yako! make wanyamwezi walikuwa bado kweli!
   
 6. M

  M-bongo JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Chadema kwa Tabora itawachukuwa miaka mingi sana maana CCM Tabora tupo wengi, na wapinzani wa ccm Tabora waliopo wengi ni CUF, cdm wengi ni wanafunzi wa vyuo ambao kwa Tabora wanaingia na kutoka, majibu mtayapata 2014 kwenye serikali za Mitaa, utafiti niliofanya wasio ipenda ccm Tabora zaidi ya nusu wapo cuf na hawapo tayari kuichagua cdm
   
 7. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Elimu pekee itaukomboa mkoa wetu wa Tabora.. Udini umeshika hatamu Tabora..
   
 8. Mufa

  Mufa Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Subiri 2015 cdm itatinga ikulu
   
 9. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #9
  May 29, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Acha kudanganyika! Mimi nipo Tabora na kasi ya mabadiliko inaonekana kama unabisha tembelea Ipuli, Ifyucha, Kiloleni, Malolo, Kitete, Cheyo, Isevya, Mtendeni na kana zingine utaona mambo. Pia nitafute mimi nikuoneshe namna NYINYIEM mlivyochokwa Pia baada ya muda tu utakubali.....
   
 10. M

  M-bongo JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Piga Ngoma mdogo wangu! nimefanya siasa za Tabora kwa zaidi ya miaka 20 sasa, ninachotaka kukuhakikishia upinzani kwa Tabora utachukua miaka mingi sana kwa mfano kata ya kitete unayoisema wewe waweza sema ni mambo gani unayoweza elezea wana jamii kuwa ina wafuasi wa Chadema? nasubiri nione M4c mkigawa kadi, mkifungua ofisi na matawi na nini sijui hapo sawa vinginevyo Chaga Development Manifesto itabakia huko huko Kilimanajaro wewe mwenyewe na ka NGO kako ur not open kuwa upo CDM sembuse wanyamwezi wa Ntalikwa, you stili have the very long safari to go, period!
   
 11. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  We M-Bongo vp??. Unasema itachukua miaka mingi??. Hebu nambie ilichukua muda gani CHADEMA kutoka kura 0 mpaka 24000 katika jimbo la mkoa wa Tabora?. Sembuse TBR mjini waliposimamisha mtu na kupata kura around 6000 huku Dr Slaa akimkaba koo vilivyo mzawa wa hapo Prof. Lipumba??. Fikiri kabla ya kusema
   
 12. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mpaka wanyamwezi waache kukaa kwenye vigenge vya kahawa na bao. wamezidi majungu. Wee mtu na akili yako kweli unaweza kumpa ubunge *****GE?
   
 13. C

  CHIEF MGALULA JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2012
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 783
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 80
  Tabora ni kambi ya cdm,hao wanaopinga wanasumbuliwa na ugonjwa wa kufikiri!!!yaani wana2mia vi2 vingine na siyo ubongo huu ninaoufahamu,kwa sasa cuf inamalizia kufunga virago vyake iende zake!!!wa2 wa tbr tumechoka na utawala huu wa kuahidi kila mwaka na mambo hayaendi!!!
   
 14. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Bughi bwa shilile, nguvu....
   
Loading...