Muungano na maduka ya wapemba Namanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muungano na maduka ya wapemba Namanga

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by nngu007, May 8, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145


  Written by Stonetown (Kiongozi) // 05/05/2011 // Makala/Tahariri // 21 Comments

  [​IMG]
  Msione taabu sana kusoma mada hii au mada zangu. Kwa jicho la ghafla, utadhani kama vile ‘jokes’; lakini nakuleteeni mada za Muungano kwa mujibu wa Ilani na Sera za CCM. Yaani yale wanayosema akina JK, Pinda, Seif Ali Iddi, Nyerere, Mwinyi n.k.
  Kwa ufupi, katika kuujadili Muungano, Watanganyika wengi wamesahau ‘reality’, wameshahu uhalali wa Muungano, au sheria au haki za Wazanzibari, na wanarukia vitu vya kipuuzi kama hivyo vya kuwa “maduka ya wapemba’ dar au Bara kote, na hususan pale Dar, maarufu kwa jina la Namanga.
  Siku moja nilikwenda pale Namanga, DAR. Na niliyahesabu yale maduka yaliyopo pale. Hayazidi kumi, na tuseme ukweli, hayafiki idadi hiyo. Sasa nilijiuliza: Je, maduka haya yanaingiza kiasi gani, tija yake, mpaka ikawa inalingana na thamani ya kupoteza nchi kama Zanzibar? Je, pato linalopatikana hapo linakwenda wapi?Je, Zanzibar inafaidika vipi na sales zinazofanywa hapo n.k.
  Leo imekuwa fashion sana, kumsikia kiongozi wa siasa, hasa wa CCM, akitaka kuuhalalisha Muungano, anataja maduka ya Namanga (na anatia sheda na kisra, kuwa ni “maduka ya Wapemba”). Lakini hawataki kusema kuwa wao watawala wameanzisha kamati 49 tokea kuansisiwa kwa Muungano, zote zimekuwa hazina tija, mbali ya tume….nasikia tume zote ni 17. Mbali kile kitu kinachoitwa ‘joint committees”.
  Kwa nini hawataki kusema kuwa misaada yote ya mabilioni inayotolewa na mataifa ya kigeni, wanachukua wao Tanganyika, hata ile misaada ya kujenga njia Sumbawanga, kasma ya Zanzibar inachukuliwa na wao. Hawataki kusema akina Samia, Mwinyi, Nyerere, JK, na wenzake kuwa portion ya Zanzibar (quota) ya ajira ndani ya taasisi za Muungano, zile 11 — Wazanzibari hawaingizwi ikiwemo Wizara ya mambo ya nchi za nje.
  - Tunapigwa bao, eti wanasema kuwa ‘hatujui kiingereza’. Kuna mtoto mmoja wa Mkereteketwa Zanzibar, alifanyiwa interview ili aaajiriwe foreign affairs, moja ya oral question, alitakiwa aimbe wimbo wa taifa wa TZ. Alishindwa kuimba, maana haujui [sio wake]. Watanganyika walimcheka, na alikosa kazi? Mimi binafsi yangu ukiniuliza, siujui kuuimba.
  Wanasahu kusema akina Samia kuwa hata zile nafasi ambazo ni zetu wenyewe, za taasisi za Muungano, zilizopo Zanzibar, pia siku hizi wanazichukua wenyewe. Tujaalie BOT, bank of Tanzania — mpaka mfagiaji, dereva, mpika chai, mpelekaji barua — wote hawa wanatoka Tanganyika. Zile ofisi za united Nations, kadhalika — taabu kuona species ya Mzanzibari. haya akina Samia, Mahadhi, Seif Ali Iddi n.k hawataki kuyasema: wao wamengangania kuwa ‘wapemba’ wanamiliki maduka namanga au maghorofa kariakoo.
  Lakini yote haya ni kuwa, kama nilivyotangulia siku za nyuma kusema, bado TZ dunia imewapa uso mzuri. Iko siku Mmarekani, na Mngereza aliyefanya Muungano atasema basi, na itakuwa hakuna ujanja: sisi nina hakika hatuwezi kitu.Tunasema na kupayuka tu. Hawa akina JK wanatamba, sio kuwa wanajua sana, bado dunia imewapa uso mzuri. na hawaujui Muungano hata zero%. Waliofanya Muungano huu 1964 ni marekani, na akisaidiwa na mngereza, na local agent wao alikuwa/walikuwa comrades. Wao ndio waliokuwa wachuuzi kwa Zanzibar kama unavyoona wachuuzi wa dagaa mitaani siku hizi [najua watakasirika, lakini lazima wakubali ukweli]. Nimesema kuwa sisi hatuwezi, kwa sababu vidudu mtu akina comrades bado wapo zanzibar, ni hao akina Samia, Mahadhi, Pereira, Mohammed Seif Khatib na timu yao.
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  Wapemba bwana, si mjitenge tu
   
 3. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  sasa wakijitenga tu, ndo itakuwa taifa la hoovyo, bora tuendelee kuwabeba.
   
 4. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Yu wish
   
 5. M

  Marcossy A.M Verified User

  #5
  May 11, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 59
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Ipo kaaaaazi kweikweli. Najua ipo kazi.
   
 6. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  jitengeni haraka-tumechoka na story zenu
   
 7. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chuki binafsi na wivu huo.

  Vibanda vya vinyago vimechomwa Pwani Mchangani, Mkoa wa Kaskazini Unguja, Wapemba wanahusika vipi hapo?
   
 8. a

  asagulaga Member

  #8
  May 11, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 75
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hii ni kali, mambo haya ni magumu sana. Watu wengi wanahitaji muungano huu lakini kama ndugu huyu aombea ufe ati kwa sababu eti merikani na ngereza walitengeneza muungano huu. Mungu epusha balaa lijalo kutokana na ndugu huyu. Muungano ni mzuri, ni vizuri kasoro zilizopo zikarekebishwa ikibidi kura ya maoni ifanywe ili kujua kutoka kwa wananchi wanahitaji Muungano wa namna gani. Lakini mawazo yake yanatakiwa kuheshimiwa sana na kufanyiwa kazi haraka. Awe tayari kuheshimu matakwa ya wengi kama akina Samia, Mahadhi, JK, Mohamed Seif Khatib na wengine tunaowaunga mkono. Mungu ubariki muungano wa Tanganyika na Zanzibar
   
 9. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Africa unite.
  Unite for the benefits of your people and children
  Africa unite
  Africa unite
  Africa is one
  One nation under God
  Africa unite
   
 10. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu tuliochoka ni sisi, nyinyi mnaofaidi mmekaa kimyaaaaaaa.
   
 11. Makaimati

  Makaimati JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 462
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Chuki binafsi au wivu Mkuu?
   
 12. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #12
  May 12, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Hawa ni waarabu koko hawataki kabisa kusikia waafrika hasa kutoka bara, wanatamani waitwe, wamahra, wayemen, waoman nk hivi kwanini tusiuvunje huu Muungano tu wasogee zao huko Oman na kisiwa chao cha Pemba?:dance:
   
 13. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #13
  May 12, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Wewe ndiyo uko kwenye ndoto kabisa. Nyerere alitaka kuvipeleka visiwa hivi mbali kabisa baharini akashindwa jee wewe?
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,337
  Likes Received: 19,499
  Trophy Points: 280
  ni kweli haya maduka hayana lolote ni bora kujitenga
   
 15. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ndio maana mnawazunguusha waarabu Pemba wawatilie mimba wake zenu mpate uweupe, mnajutia bibi zenu hawajabakwa kama wale wenye ka rangi?
   
 16. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,384
  Likes Received: 6,563
  Trophy Points: 280
  aisee hawa jmaa wanakiburi na majivuno mfano hakuna..nilishawahi kufanya biashara na mwarabu koko mmoja kutoka pemba kwanza ni shida tu ndio zilimkutanisha mimi na yeye maana anonyesha wazi hapendi wabara achilia mbali wakristo..nimefikia konlusheni kuwa hii dini ya uislamu ina uhusiano wa karibu na shetani..maana hakuna dini inayohubiri chuki ya namna hii..i wish ningepata nafasi ya kuwa kiongozi...washenzi wote kama hawa nawapiga deportation kwao huko wanakodai n ikwao...uarabuni..halafu nione huu muungano wanaosema uvunjwe huko oman watautoa wapi ..kama hawataishia kupiga deki nyumba za mamwinyi wa ukweli na sio mamwinyi koko
   
 17. A

  Anacletus Member

  #17
  May 29, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  muungano ni mzuri lakini Wazanzibari bila kujua wanachofaidika wanapiga kelele za muungano uvunjike. inasikitisha hatua tunayoelekea kwakuwa dalili zimeshaonekana wazi kuwa Muungano unaelekea mwishoni kutokana na hatua ambazo zinachukuliwa na upande wa Zanzibar. Nikule kufikiria kwamba bara wanafaidi bila ya kuchunguza kwa undani. Haya tuombe Mungu atusaidie ikiwezekana tupige kura ya maoni kuhusu jambo hili. lakini ninaimani ukweli utajulikana. Mungu ibariki Tanzania. Inawezekana kukawa na ukweli badala ya kukaa tukarekebisha matatizo yaliyopo watu wanawaza kuvunja.
   
 18. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  unaweza kunielezea uzuri wa muungano?maana mimi siujui
   
Loading...