Mabadiliko ya katiba ndiyo karata ya mwisho kwa CCM kubaki madarakani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabadiliko ya katiba ndiyo karata ya mwisho kwa CCM kubaki madarakani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MZALAMO, May 29, 2012.

 1. M

  MZALAMO JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 471
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 60
  Kama uchaguzi ujao utafanyika chini ya katiba mpya ikiwa na kipengele cha rais atachaguliwa kutokana na wingi wa wabunge waliochaguliwa badala ya mfumo wa sasa unaotambua ushindi wa rais kwa idadi ya wapiga kura basi CCM itakuwa na matumaini ya kuweza kushinda uchaguzi wa rais ujao hasa ukizingatia kuwa ina mtaji wa wabunge wengi visiwani.
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kama katiba wataandika wao.
   
Loading...