chadema imepata sumu ya kali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chadema imepata sumu ya kali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by anatropia, May 29, 2012.

 1. a

  anatropia Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari za kuaminika ni kwamba,msimamo wa chadema kuhusu serikali ambao kimsingi CCM haikubaliani nao ndo kitu wazanzibari wanataka ili kudumisha muungano,kama si kupigilia msumali wa mwisho wa kaburi la CCM chadema inahafiki swala la mafuta kuachwa kwa wazanzibar wenyewe.Kutokana na misimamo chanya ya chadema yenye maslahi kwa pande zote za muungano ndo muharobaini ya mgogoro wa wazanzibar.Wazanzibari niloongea nao kwa kauli moja wanawasubili makanda wa jeshi la ukombozi Tanzana,Dr Slaa na Mbowe watue zanzibar wawalejeshee shahada za kijani wapatiwe makombati tayali kurejesha zanzibar kundini-ndani ya gwanda na si gamba
   
 2. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Itakuwa pouwa..ila lazima chadema wajihadhari na wahafidhina.
   
 3. B

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 80
  Mafuta jamani mafutaaaaa yanawatoa roho Tanganyika. Hii movie kweli ni kali.
   
 4. m

  mareche JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  cdm kuweni makini hapo zenji pabaya
   
 5. A

  Awo JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 790
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Hivi na muungano je? Wazanzibari wanataka serikali tatu au hawataki muungano kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa?
   
 6. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  sasa hv hakuna mtu anayetaka ndoa ya muungano iwe bara ama visiwani.
   
 7. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kwanza Mafuta kameonekana kati ya Tanga na Pemba kwahiyo itatakiwa Mazungumzo ya Serikali hizo mbili

  Upande wa Zanzibar kama mafuta yapo sio ya kibiashara kama ya ndugu zetu Kenya

  Kama Chadema itakwenda huko Zanzibar ningependa isijisheke bega kwa bega na huyo Sheikh kwasababu ni Gaidi
   
 8. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Kilichopo zenji sio mafuta wala muungano, ni udini. Ni kutaka taifa la kiislamu a.k.a maficho ya magaidi. Vijana wanatumika bila wao kujua wanamtumikia nani.
   
 9. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yaani Magamba yameshindwa mpaka na midebwedo?
   
 10. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,015
  Likes Received: 2,666
  Trophy Points: 280
  Mmmh hapo nina mashaka kidogo,hao jamaa sio wa kuwaamini hata kidogo,kwani wamejawa na udini sana si vinginevyo.
   
 11. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  inabidi magwanda wae natahadhari juu ya hawa ndugu zetu
   
 12. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33

  ....wanalitaka taifa hilo ili wafaidi mafuta yao wenyewe....
   
Loading...