zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
Juzi nilileta mada yenye kichwa cha habari "M4C Zanzibar" nyuzi ilisema hivi:
Wengine wakanijibu bila kufikiri, kama hivi:
Leo kwa macho na masikio yangu kupitia taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku huu, nimemsikia Sheikh Farid wa Uamsho Zanzibar akiirudia kauli mbiu ya CHADEMA zaidi ya mara moja "mpaka kieleweke". Hakuna ataebisha kuwa huo ni msemo uliozoeleka katika uongozi na kila kada na mnazi wa CHADEMA.
Nawapongeza CHADEMA kwa kuwaamsha Uamsho kudai haki zao na ningependelea ushirikiano huo uzidi na kama Uamsho wanavyoiunga mkono CHADEMA katika harakati zao kwa kutumia kauli mbiu ya CHADEMA kwenye harakati zao ni wakati muafaka kwa CHADEMA kuitumia fursa hii na kuungana na Uamsho Zanzibar wasaidiane katika M4C, inaonesha wazi kuwa Uamsho Zanzibar na CHADEMA wana uhusiano usio rasmi na yote ni katika kutafuta mabadiliko ya ukweli "Change".
Hongera CHADEMA, hongera Uamsho Zanzibar.
Kwa heshima na taadhima, tunaomba uongozi wa CHADEMA usisahau kupeleka mkutano wa M4C Zanzibar haraka iwezekanavyo, tena tunaomba sana Mheshimiwa Tundu Lissu apewe muda mrefu wa kuongea atapokuwa huko. Inaonesha kuwa CHADEMA imewaamsha Wazanzibari kutokea Jangwani ni vyema wakafika huko "LIVE".
Wengine wakanijibu bila kufikiri, kama hivi:
kweli system at work..yaani linalokuja mdomoni tu unalitema ..mkutano wa jangwani na kuchomwa makanisa unajaribu kuunganishaje dot?...ile mihadhara yote ya uamsho hukuiona ?? nenda youtube kuna clip zote na zile za mfumo kristo