Kosa la CHADEMA ni lipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kosa la CHADEMA ni lipi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rabi wa Leo, Jun 2, 2012.

 1. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu,nashangazwa sana na wachangiaji wengi,hasa kwenye hoja zinazohusu utaifa.Kila ukipinga uovu wa serikali unatuhumiwa kuwa wewe ni mfuasi wa Chadema.Katika taasisi za elimu ya juu,kila ukihoji uovu wowote,wewe ni member wa Chadema..Tuwapo humu mtandaoni,ukikosoa ubaya wa watendaji wa taasisi za serikali na serikali kwa ujumla,wewe ni wa Chadema..CHADEMA sasa inafikia kuitwa kikundi cha kikanda cha wanaharakati wakorofi na si chama cha siasa cha watanzania wote..KOSA LA CHADEMA KUPINGA UOVU NI LIPI?
   
 2. mpiganaji jm

  mpiganaji jm Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikwamba naungana na wanao ituhumu CDM bila sababu za msingi, ila vijana wengi wamekuwa na CDM syndrome, pale unapoikosoa chadema unaonekana kuwa wewe ni gamba, na matusi mengi unatupiwa, swala lamsingi ni kuweka utaifa mbele, cz wanasiasa hawataipeleka nchi yetu popote zaidi ya kuirudisha nyuma!!!!!!!!!!!
   
 3. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Nakuja kuoa Moshii, safari naanza kesho!!!!!
   
 4. D

  Deofm JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Beni alishafika, wewe sio wa kwanza.
   
Loading...