Mbelwa Germano
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 789
- 289
Ni nini usichokijua kuhusu Richmond? If you-scratch-my-back-i-will scratch-yours. Nani asiye na gamba?Duh…!Unaweza ukadhani maneno haya ni maneno ya maigizo kumbe ndio mtindo wenyewe.
Nani amu-wajibishe mwenzake? Dhubutu! Ni nani msafi? ". Chama chochote kikiwepo madarakani kwa muda mrefu kinakumbatia rushwa hasa panapokwepo vyama dhaifu vya upinzani " (New International Magazine 1999", Mwl. JK Nyerere,)(Tafsiri).
Kuvikana (Kuvikwa) vilemba vya ukoka, zomezomea, gongagonga, kufanya mambo hovyohovyo na kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa ndio mpango mzima. KWELI TUTAFIKA?
IF YOU-SCRATCH-MY-BACK-I-WILL SCRATCH-YOURS