WASSIRA akiri kuzomewa, fuatilia mahojiano ITV siku ya Jumatatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WASSIRA akiri kuzomewa, fuatilia mahojiano ITV siku ya Jumatatu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jumakidogo, Jun 2, 2012.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Waziri Wasira, kidume toka CCM. Mwenyeji wa Ikulu lakini kwa bahati nzuri naona mwenye nyumba ikulu hana mtoto mchanga manaake jamaa angetumika kama kinyamazisho cha mwana. Amekiri kuzomewa lakini katika maelezo yake anasema alizomewa na mlevi. Songa naye ITV Siku ya j3 saa 3 usiku.
   
 2. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Huyu mzee apumzike tu maana siku naye kawa shehk yahya, katabiri CDM kugawanyika na matokeo yake chama lao ni linagawanyika.
   
 3. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Ina maana watu wa Bunda wote ni walevi?
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Jumakidogo, mkuu hebu funguka kidogo!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa hivi! Mtoto akililia nyonyo mama hayupo anaitwa jamaa. Au mtoto anaambiawa, nyamaza we! Ntamwita Wasi! Mtoto kimyaaa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,791
  Likes Received: 36,805
  Trophy Points: 280
  Hivi uyu jamaa ana umri gani?
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hahahaaaaaa!!!!!!!
   
 8. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Nimemuona ktk vjimatangazo ati anasema amezomewa na walevi wanne kati ya watu 6000 walohudhuria mkutano wake..NLICHEKA ATI WATU 6000 wakusanywe na wassira..ajabu!!
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,521
  Trophy Points: 280
  hata Qadfi aliwaita wananchi wake ni panya wavuta unga..guess whatt happened?
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Umenifanya nicheke ingawa kuna Mkunya alikuwa anajaribu kuniudhi huko kwenye majukwaa ya inteneshino.
   
 11. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,120
  Likes Received: 10,469
  Trophy Points: 280
  Wasira bana...
   
 12. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  huo mkutano ulioneshwa star tv news hiyo idadi haikuwepo,akubali kuwa alizomewa na bado atazomewa na kuzomewa!
   
 13. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  zee la gombe limechanganyikiwa kwa kweli, linaona M4C inawabomoa basi anaropoka tu!
   
 14. s

  sarawati Senior Member

  #14
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  huyo nae ni mropokaji ile mbaya litalomjia tuu..
   
 15. D

  Deofm JF-Expert Member

  #15
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kaka yake Ben amesema hataki matatizo zaidi, aliyonayo yanamtosha. kama kustaafu ni matatizo ndiyo maana huyo wasi anaogopa kusaafu, kama waziri anazomewa itakuwaje siku akiuacha huo uwaziri.
   
Loading...