Hivi Rais mstaafu wa Marekani aliachaga nini cha kukumbuka hapa kwetu Tz? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Rais mstaafu wa Marekani aliachaga nini cha kukumbuka hapa kwetu Tz?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LiverpoolFC, Jun 1, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ujio wa Rais mstaafu wa Marekani Mhesimiwa Bill Clinton ktk kujaga kwake hapa kwetu mwaka 2002 kama rais wa kwnz wa Taifa kubwa kama hilo duniani faida yake kama kumbukumbu kwa kizazi kijacho ni nini ameacha?
  Ama mafisadi walizikaga kama kawa?


  Mwenye kujua anijuze wajameni!
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Alikuja kuangalia na kuimarisha maslahi yao kama madini etc...
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Mi nahisi hilo lilikuwa ndio agenda kuu

  kwao kuja!
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  urais ni taasisi. hivyo kuna continuity kwenye urais wa marekani. misaada ya marekani kwa TZ kama MCA misingi yake ilianzia kwa marais wa zamani wa USA
   
 5. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Anakumbukwa kwa kuja kuzindua mfumo wa kuinyonya TZ ktk sekta ya madini kwa njia ya kuwafunika Watanzania kwa chandarua ili wasione wizi unaofanyika.
   
 6. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG] [​IMG] [​IMG][​IMG] [​IMG] [​IMG]

  Hizi taswiras ni za ujio wa Bill Clinton nchini Tanzania kipindi cha utawala wa Mkapa. Aliyeweka mizizi ya wamarekani nchini Tanzania ni Mkapa, Kikwete ameikuta.

  Lakini mpishi mkuu ni Balozi wa Marekani nchi Tanzania ambaye baada ya kumaliza muda wake aliamua kujenga ile shopping Centre ya Mlimani City, ambayo ina kiwango cha kimataifa.

  [​IMG]
  Mlimani City Mall in Dar es Salaam, Tanzania.

  For Video, bofya hapa kuna live: [TABLE="class: ts, width: 512"]
  [TR]
  [TD="colspan: 2"][h=3]Mlimani City Shopping Mall - YouTube[/h][​IMG]

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kheeee
   
 8. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  alikuja kuimarisha misingi ya freemason...nyie wananchi wa kawaida hamuwezi kuelewa hilo
   
 9. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ulitegemea afanye nini,kwani nchi yake hii.Ninyi ndio ambao Freemasons wamewa-brainwash hadi basi.Lakini nikuambie kitu,ingawa ninahakika hutanielewa,Clinton alikuja kuimarisha U-Freemason na kuweka misingi imara zaidi ya kutuibia rasilimali zetu.
   
 10. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,147
  Trophy Points: 280
  Acheni hizo. Kwani wa Kwenu akienda Marekani huwa anaacha nini? KUWENI NA SHUKRANI.
   
 11. b

  bigbumper Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu tushukuru nin?
   
 12. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Tuelimishane tu! Wewe binafsi leo mtoto wako ama mdogo wako akasikia Bill Clinton alikujaga hapa Nchini mwaka fulani,Utamwambia ujio wake ulitunufaisha na nini?
   
 13. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 14. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Huwa anaacha picha alizopiga na boys2men na 50 Cent
   
 15. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Betnets; Ila anamiliki migodi ya midhahabu baada ya kutupatia net kila kaya.
   
 16. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Hili dubwana linaitwa freemason hata silielewi,..maake sijui kama lipo ama ni uoga wetu tu.
   
 17. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda sana hiyo kwenye blue,...ingawa hiyo ya kuwa na shukurani ndio sijakuelewa mkuu.....shukrani ya nini sijui.
   
 18. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #18
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Mi nakumbuka kama ni G. Bush ndiyo alikuja kutoa mambo ya neti hapa kwenye kiwanda cha A to Z!
   
Loading...