President sells off Presidential jet and 60 expensive cars including Mercedes limousines

Sr. Magdalena

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
803
472
MY Take:

Tanzania can do the same, yes inawezekana.

>>>>>>

Joyce Banda, Malawi's new president, has announced the presidential jet and fleet of 60 Mercedes limousines would be sold in a move applauded by a British cabinet minister as an example to other African leaders.

Mrs Banda said she was happy to "offload" the presidential perks, adding: "I can well use private airlines. I am already used to hitchhiking."
It means that the 62-year-old head of state – the second woman to hold the position in Africa – will fly to the Queen's Jubilee celebrations in London this weekend with British Airways.

Andrew Mitchell, the UK International Development Secretary who is currently visiting Malawi, delivered a £33m cash injection for Mrs Banda's government.
He said the move was a sign of the "seriousness Mrs Banda is applying to overturn bad decisions taken under the previous government".

The former vice-president in Bingu wa Mutharika's government, she stepped into the presidency in April when he suffered a heart attack. The jet had annual running costs of £220,000.

Please MOds, dont move this thread, iachwe hapa hapa.
 
Hizo hela baada ya kuukubali ushoga,huyu mama kauuza utamaduni wa Mwafrika kwa vipande vya dinali ,viongozi wa sampuli ya huyu mama ni machukizo kwa Mungu
 
Hizo hela baada ya kuukubali ushoga,huyu mama kauuza utamaduni wa Mwafrika kwa vipande vya dinali ,viongozi wa sampuli ya huyu mama ni machukizo kwa Mungu

Naona unajitahidi kubadilisha uzi, ndani ya huu uzi hakuna ushoga, kuna gharama kubwa zisizo za lazima ambazo viongozi wa serikali wanatakiwa kuzipunguza au kuzifuta kabisa.
 
Huyu mama mimi nna mashaka naye! Alikuwa na bifu kubwa na rais alieuwawa. Tangu awe rais yeye kila alichofanya rais aliepita amekipindua. Hizo ndege hakuzinunua ya magari ndo mana! Afrika bana!
 
Naona unajitahidi kubadilisha uzi, ndani ya huu uzi hakuna ushoga, kuna gharama kubwa zisizo za lazima ambazo viongozi wa serikali wanatakiwa kuzipunguza au kuzifuta kabisa.

Magdelena,
Unayosema ni kweli kabisa na ya msingi. Hongera sana.
 
Tuna tatizo kubwa sana sisi Waafrika la unyaufu wa fikra.Tunapiga sana kelele kutokanan na matumizi yasiyo ya lazima kwa serikali yetu lakini leo tunakuwa wa kwanza kumkandia rais huyu mwanamke kwa maamuzi magumu aliyoyafanya angekuwa manaume hapa kila mmoja humu ange support na kusema huyu ndiyo mwamumu wa shoka.Tuacheni kasumba tumpongezena awe mfano kwa viongozi wenigne vhiyo wa madaraka na malimbukeni wa ikulu.
 
Mama mjinga sana huyu...amewaangusha sana akinamama wenzake...
 
Kwa Tanzania hapana, Sisi itakuwa aibu tuna Madini na Gas Jamani rais wetu, kama anakwenda Angola awe nakaa Airport 3 au 4 kusubiri hizo ndege za Abiria? itamchukua Masaa 7; safarini na Taifa letu kidogo ni kubwa na Tajiri zaidi ya Malawi.

Ndio tunategemea Misaada kwa Bajeti yetu, lakini sio kama Malawi ndio siipendi CCM, lakini hii kuwa na ndege ye Serikali
Mimi naona ni bora, yaani hata JK Nyerere alikuwa na Ndege ya rais lakini labda haikuwa na Umaridadi kama hii ya sasa.

Hapo siilaumu serikali ya CCM; Kenya wao wana Boeing 707 as a Presidential Plane; sisi ketu ni kadogo kanafaa
Sometimes Wazungu wasitufanye sisi tunaishi Mitini tu; Wao wanakuja hapa na kuchukua vizuri vyoote tulivyonavyo.
 
Huyu ni Iron Lady.
Ukiondoa hilo doa la ushoga, ameanza vema.
Mbayuwayu wetu hawezi fanya maamuzi yenye maslahi kwa nchi ht siku 1,
la Madaktari lenyewe limeshamshinda.
 
Hizo hela baada ya kuukubali ushoga,huyu mama kauuza utamaduni wa Mwafrika kwa vipande vya dinali ,viongozi wa sampuli ya huyu mama ni machukizo kwa Mungu

kwahiyo asiuze hiyo ndege na hizo gari?? btw, sisi tunapokea nyingi maranyingi zaidi ya malawi...........
 
Hizo hela baada ya kuukubali ushoga,huyu mama kauuza utamaduni wa Mwafrika kwa vipande vya dinali ,viongozi wa sampuli ya huyu mama ni machukizo kwa Mungu
kwani ushoga ndo nini? anayekubali kuwa shoga si ni ****? mwacheni awe akitaka,. kwani ni lazima? Mama amejitahidi kufanya mambo ya msingi, lazima apongezwe coz yeye ni mwanamke na amefanya ambayo wanaume wameshindwa. swala la ushoga is very minor coz halijapitishwa; ni hadi bunge lijadili ndo ipite
 
Back
Top Bottom