Ujio mpya wa cuf

Mgongo wa paka

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
485
36
ujio mpya wa cuf baada ya kujigambua. Umekuwa gumzo kila kona mwa jiji la dar es salaam wengi wakisifu. Nawengine kuponda basi yote kwa yote ni gumzo mtaani sijui vilomo wahumu especialy wale wenye hasira na cuf sijui watapasuka. Nakesho kwa mapokezi ya lipumba sijui vilimilimi watatokwa roho
 
Duniani siku zote huwa hakuna kitu SECOND CHANCE, hivo swala la KAFU kaumaliza kabisa yule Mbunge wa CCM Hamad Rashid tangu mwezi jana. Uwanjani kesho mapokezi ni kwa bendera za KAFU-Seif ShariffHamad, KAFU-ADC Hamad Rashid pamoja na masalio ya KAFU-CCM B.

Kila la kheri huko na matumizi ya mabilioni sawa tu na mambo ya CCM katika shughuli ndogo tu ya kumkaribisha mtu nyumbani.
 
vilaza wenye hasira na cuf kazikwenu

Ni nadra sana watu kukasirikia wagonjwa mahututi. Na hizi habari za kusema kuwa ujio wa Lipumba ni gumzo umezifanyia uchunguzi wapi wapi? Mimi navyoijua CUF na kwa kuzingatia maneno yako, lazima utakuwa unaishi Buguruni. Mtu wa buguruni akiona watu wamejaa Bungoni mpk Amana si ajabu akasema mji umefurika.

Mimi binafsi nimeongea na watu wa nyumbani lkn sijasikia mmoja wao akizungumzia huyo mtu. Kama ni special kwako, let it be lkn sio kuwasemea wengine. CUF ilikwishakufa kitambo
 
Toka lini uongo ukajenga nyumba ikasimama? Na kwani nani asiyejua mficha magonjwa kifo kitamuumbua? All the best and things will never be the same!!
 
chonde chonde nimesoma kwenye gazeti kuna wanachama watatoka rufiji na kilwa kwa malori ya fusso.. wacije pata ajali njiani jamani..
 
Bila shaka panapo majaaliwa Professor Ibrahim Haruna Lipumba tutankarisbisha nyumba kwa shangwe na nderemo. Huyu hasa ndie awe Raisi wa taifa hili maana ni mtu mwenye upeo wa juu kabisa. CUF wapo juu kabisa na nawaomba muanaglie polss zinasema nini badala kukaa mukipotosha. Hhahahahahahhaha.
 
Bila shaka panapo majaaliwa Professor Ibrahim Haruna Lipumba tutankarisbisha nyumba kwa shangwe na nderemo. Huyu hasa ndie awe Raisi wa taifa hili maana ni mtu mwenye upeo wa juu kabisa. CUF wapo juu kabisa na nawaomba muanaglie polss zinasema nini badala kukaa mukipotosha. Hhahahahahahhaha.

CUF ni maiti iliyoanza kunuka uozo, mpokeeni vema na mkabithini Prof mzoga huu wa CUF akauzike mbali huko.
 
Back
Top Bottom