ccm mnajimaliza kwa hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ccm mnajimaliza kwa hili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by andrews, Jun 2, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,682
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  BINAFSI NAFURAHISHWA SAANA NA NAPE KWA KUKIMALIZA CHAMA CHAKE NI MTU ANAYEJIJENGA BINAFSI BADALA YA CHAMA NIMEFURAHISHWA NA HILI KWA SABABU HILI LINASAIDIA SANA KUONGEZEKA KWA WAFUASI NA WAPIGA KURA WA CHADEMA.KAMA CCM INGEKUWA MAKINI INGELIFANYIA KAZI HILI KAULI YAKE YA KUMJIBU MAIGE NI UPUUZI MWINGINE KWA KUSEMA MAIGE SI SIZE YAKE HII NI KUONESHA ASIVYO TAYARI KATIKA WADHIFA WAKE UNAMZIDI UMRI NAOMBA KUWAJULISHA HUU NI MTAJI TOSHA KWA CHADEMA KWANI HAKUNA MASHIMO KWENYE BARABARA YAO YA KUELEKEA IKULU 2015 RIP CCM:lock1:
   
 2. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,159
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  Acha hizo wew ccm imeshakwisha unataka iishe vipi?kuwa na huruma wewe hao wameshakufa tunazika 2015
   
Loading...