Kanchi sasa kananuka rushwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kanchi sasa kananuka rushwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Jun 2, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nadhani mtakubaliana nami kuwa nchi imefika pabaya. Rushwa sasa inadaiwa hadharani na huwezi kupata huduma yeyote bila kutoa kitu kidogo. Nilitoa gari bandarini last week hakuna rangi sijaona nimelipa rushwa hadi nikachanganyikiwa. nenda mahakamani, Brela, tafuta leseni ya biashara uone, nenda ardhi pale, barabarani matrafiki balaa,nenda omba ajira, kila mahali hadi nchi inakuwa kama haina serikali. Jamani sijui tufanyeje lakini hakuna njia nyingine kwa maoni yangu ila tu kuwapa mkono wa kwaheri CCM, chama cha kifalme kinachowapa watoto wa kigogo nafasi nyeti hata kama wana matope vichwani, sisi watoto wa masikini tusipopigia kura chadema tutakuwa wasindikizaji tu na kuwashangilia mafisadi. Nina uchungu sana!
   
 2. wagaba

  wagaba JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 829
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  uchungu wako ndo kicheko kwa magamba. pambana kwa upande wako pia usisubiri M4C kuja maeneo yako kueneza ukombozi. charity begins at home if you really want ukombozi wa kweli. movement hii ni kwa wote wenye kuitakia mema TZ.
  "Pamoja tutashinda"
  Big up Ibange, tuko pamoja mkuu
   
Loading...