Chuo cha Jordan (Morogoro) CCM wakosa vijana wa kugombea nafasi chuoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo cha Jordan (Morogoro) CCM wakosa vijana wa kugombea nafasi chuoni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kayabwe, Jun 2, 2012.

 1. Kayabwe

  Kayabwe JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 334
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  UVCCM-Chuo cha Jordan chama kinakimbiwa ile mbaya hii ni baada ya kuwekwa tangazo mara mbili na wanachuo kumkashifu katibu na baadae kuamua kulitoa.Jamana ccm hawana wanachama vyuo vikuu.
   
 2. T

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,746
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 280
  Niliwahi kuishi morogoro ndo nasikia leo kuna chuo kinaitwa jordan
   
 3. waziri/saidi

  waziri/saidi Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kipo bana,ni cha kanisa katoliki kisichobagua dini na kimeanza ths yr
   
 4. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jordan Univ haijaanza mwaka huu mkuu,ipo muda kidogo,ni branch ya St Augustine University
   
 5. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 731
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wakawachukue wa UDOM wakagombe.
   
 6. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 731
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  M4C ni jibu.
   
 7. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,615
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  Tume ya Katiba wewe unaweza geuza kekundu kuwa keupe..uzandiki coz of itikadi
   
 8. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,095
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mkuu unaongelea enzi zile binti mrembo anaitwa kishtobe?
   
 9. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni ile iliyokuwa Salvatorian Institute of Philosophy & Theology.
   
 10. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Uliwahi kuishi morogoro halafu ikawaje?? Ukafa? Ukahama? Mr zombie chuo kilijengwa baada yako
   
 11. m

  mvunjamiwa JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kipo maeneo ya nanenane kabla hujafika viwanja vya maonyesho.
   
 12. K

  Kyindokyakombe Member

  #12
  Jun 2, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SAFI. cdm tawi la JORDAN nanyi tafuteni wanachama zaidi msilale.
   
Loading...