Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WANAJF: Kwa heshima na taadhima napenda kuutangazia Umma wa Watanzania popote walipo chini ya Jua kwamba nimeamua kwa dhati kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote bali ni kwa msukumo wa Uzalendo...
10 Reactions
84 Replies
7K Views
Muda si mwingi redio Maria imeripoti kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Taifa amekihama chama hicho na kuhamia NCCR Mageuzi kisa anasema CDM kinaongozwa kindugu na kibaguzi...
0 Reactions
182 Replies
19K Views
Na Mwantanga Ame BAADA ya serikali kukabidhiwa ripoti ya Kamati teule ya Baraza la Wawakilishi, iliyochunguza mambo mbali mbali yaliyoibuka kwenye majadiliano ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
JE! GODBLESS LEMA NDIYE CHANZO KINACHOITWA KUKOSEKANA KWA UTULIVU JIJINI ARUSHA? Mimi sielewi ni kitu gani kinachofanya watu kufikiri kuwa aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini ndiye chanzo cha...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Siku za karibuni nimekusikia ukihamasisha watanzania wasichague viongozi kwa kupewa vijisenti. Rushwa kwa CCM ni sawa na cancer ya damu. Hakuna kiongozi hata mmoja wa CCM anayeweza kujigamba...
0 Reactions
3 Replies
860 Views
Mjumbe wa kamati kuu ya chadema na aliyekuwa mb wa arusha mjini GODLESS LEMA Amesema ataandaa maandamano makubwa jijini arusha kutaka watu wote waliomo magerezani mkoani humo wanaokabiliwa na wizi...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Wakuu salaam alykum. "Afadhali vita inayosaka haki na heshima kuliko amani inayopumbaza akili na kudhalilisha utu wa mwanadamu" haya ni maneno yanayo penda kutamkwa na aliyekuwa Mheshimiwa mbunge...
9 Reactions
47 Replies
5K Views
Nimeona nianzishe thread hii kwa ajili ya wapinzani wa siasa za Nyerere hasa baada ya kuona wanajipenyeza kwenye threads zisizohusiana. kwa thread hii, mwageni lawama zote kwa hoja ila si kutukana.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Na Deogratius Temba, Tanzania Daima PENGINE tunaweza kupingana, kukosoana na kutokukubaliana kuwa tatizo au sababu ya vurugu za Zanzibar zilizotokea wiki iliyopita ni udini au chuki za kiimani...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakati akilihutubia taifa jana kupitia televisheni pindi alipoanza kulizungumzia sakata la zanzibar kikwete aliiita zanzibar kuwa jiji sasa sijui kama ilikuwa bahati mbaya au kuna maana aliyotaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jana mh. Jakaya Kikwete aliongea na wananchi wake kama ilivyo kawaida yake ya kila mwezi. Aliongelea mambo mengi ingawa mimi hata jambo moja sikuona linamgusa mwananchi wa kijijini. Sikuona kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna taarifa ambazo hazija thibitika kuwa vurugu zilizo tokea kule Zanzibar ziliandaliwa maksudi na wanao taka hoja ya muungano isijadiliwe wala kushika kasi kama ilivyo sasa.Kwa hiyo wana jamvi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanabodi, JF ni zaidi ya chombo cha habari. Ni kawaida kwa zile hotuba za JK mwisho wa mwezi kushushwa humu!. Kwa mwisho wa mwezi uliopita jana tulitangaziwa hakutakuwepo hotuba ya mwisho wa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
kwa kipindi nilichomfahamu dr slaa kama mbunge na baadae mgombea uraisi nikiri kuwa mwonekano wake umebadilika sana.dr.slaa amepungua sana yaani amekonda mno isipokuwa ubongo wake ndio haujakonda...
7 Reactions
56 Replies
5K Views
tujuzane zaidi kuhusu hilo hapo juu....
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Queries and concern as Katiba team gets stuck Saturday, 02 June 2012 09:02 By Polycarp Machira The Citizen Reporter Dar es Salaam. Concern is growing over the one-month unexplained...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
National Economic Forum (NEF) Date: Wednesday, 6th June, 2012 from 10:00 AM to 6.00PM Venue: National Museum, Shaaban Robert Street opp. IFM, Dar Es Salaam, Tanzania Theme: Building the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu Masauni inajulikana kabisa aligushi umri ili agombee uenyekiti wa UVCCM; ninavyofahamu mimi kughushi ni kosa la jinai, mbona huyu jamaa hajafikishwa mahakamani kutokana na kosa hili au ndio...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wazanzibari kwa harakaharaka wanaonekana ni Wazalendo sana kwa "nchi" yao, kumbe kinachosumbua hapa si uzalendo bali ni chuki (za udini), ubaguzi (wa kidini) na unafiki! Muungano ukivunjika (Mungu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kila m2 sasa ahakikishe anawasiliana na wazee,ndg na jamaa sehemu mbalimbali na hasa VIJIJINI ili nao waamke wajue UBAYA wa CCM hatimaye watafute CHAMA kingine na si CCM.Anzeni sasa mtaona jinsi...
0 Reactions
2 Replies
876 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…