Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Adharusi, Jun 4, 2012.

 1. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,635
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Baada ya zanzibar kutengemaa,baada ya CUF vs CCM kuunda serikalii..limezaliwa lingine la Uamsho...likiisha hili litazaliwa la Pemba kutaka nchi yao(kumbuka waraka ulioenda umoja wa mataifa)
  ""Vox populi,Vox dei)
   
 2. k

  kicha JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 506
  Likes Received: 533
  Trophy Points: 180
  huu uzi ungependeza zaidi kama ungeanza kumnukuu nasari halafu ukaenda zenji venginevo unasukumwa na ushabiki wa kisiasa tu, jf tunaenda kwa kufikiri na sio chuki au upendo kwa jambo fulani. nakupenda kama mtz mwenzangu.
   
Loading...