NCCR yamtaka Mh Ezekiel Wenje kuomba radhi

Mkwanda

Senior Member
Apr 6, 2012
123
14
Akiongea kwa jazba kali Mh moses Machali alisema kua kitendo alichokifanya Wenje kumuita mwenyekiti wao James Mbatia kua ni kibaraka kwa kukubali uteuzi wa rais hakiwezi kuvumilika na kumtaka Wenje kuomba radhi na kufuta kauli yake.
 
Kosa la wenje lipo wapi sasa? Huyu moses machali anatumiwa sana na mbatia kwani nilishamuona tangu kwenye ishu ya kafulia, Mosese machali inabidi ujiangalie maana kumnyooshea kidole wenje ni sawa na kujaribu kuupaka rangi upepo.
 
Chama cha NNCR Mageuzi kimekitaka chama cha CDM kuomba radhi juu ya kauli ya Mb. E. Wenje kwamba NCCR ni CCM B. Kauli hiyo imetolewa na Wenje akiwa katika mkutano Majengo ambapo alisema haamini kama Mbatia anaweza kupambana na CCM kutokana na kuteuliwa na rais wa JMT.

Akiwa na waandishi wa habari Mb. Mkosamali amesema endapo CDM itadhibitisha kuwa Mbatia hataweza kukabiliana na CCM kwa kuwa ni CCM B, yeye yupo tayari kujiuzuru nyazifa zake zote ikiwemo ubunge.

Hali kadhalika kushindwa kuomba radhi kutakifanya chama chake kikichulie hatua zaidi ikiwemo kukishitaki.

Haya tena CDM Vs CDM,

Yetu Macho.
 
NCCR Mageuzi kimekitaka CHADEMA kuomba radhi ndani ya wiki moja kufuatia shutuma zilizotolewa na Mbunge wa Nyamagana kuwa NCCR ni CCM B
 
kwani kakosea nini Wenje wabongo bwana yaani ukishasema ukweli tu unatakiwa uombe radhi, tz kwa demokrasia ipi hadi mpinzani ateuliwe na rais kuwa mbunge? haihitaji akili ya mzungu hilo.
 
Nimemuona anatoka povu kabisa kumtetea boss wake. Kila mtu anajua kuwa Mbatia ni kibaraka na hata Hashim Rungwe alitutanabaisha, pia kila mtu anajua kuwa Mbatia ni bwabwa. Siasa za kujipendekeza namna hiyo za huyu Machali zinatia shaka kubwa na kukatisha tamaa vijana wenye ambition ya siasa maana amekuwa kama ni House Boy wa mwenyekiti kwa kukubali kutumwa na kutumiwa. Heri angekanusha Mbatia mwenyewe.
 
Akiongea kwa jazba kali Mh moses Machali alisema kua kitendo alichokifanya Wenje kumuita mwenyekiti wao James Mbatia kua ni kibaraka kwa kukubali uteuzi wa rais hakiwezi kuvumilika na kumtaka Wenje kuomba radhi na kufuta kauli yake.

Mbona kila mtu anajua Mbatia ni CCM B
 
Machali na NCCR wenzie waache kulialia. They should grow up and act like MEN. Kulialia kila ukikosolewa ni utotot. Kama Wenje kasema wao ni CCM ni wamoja Machali alitakiwa ajibu kwa kuonesha ni jinsi gani NCCR ni tofauti au hawako pamoja na CCM. Hawezi kumuambia Wenje amuombe msahama kwa sababu amesema anachokiamini, sasa ni kazi ya NCCR kusema otherwise.

Na kama kweli NCCR-mageuzi sio vibaraka kwanini Kafulila bado yuko bungeni? Na kwa nini Spika wa bunge ambaye ni mjumbe wa CC ya CCM amtetea Kafulila? Sheria ya vyama vya siasa iko clear, ukifutwa uanacha na ubunge unapotea. Sasa kwa nini CCM watafute story za kuungaunga ili Kafulila arudi Bungeni? The same na Hamad Rashid na CUF yake.

Lakini sote tunakumbuka wawili walivyokuwa wanapiga kelele uwe kuwe na kambi mbili toka upande wa upinzani.
 
Kosa la wenje lipo wapi sasa? Huyu moses machali anatumiwa sana na mbatia kwani nilishamuona tangu kwenye ishu ya kafulia, Mosese machali inabidi ujiangalie maana kumnyooshea kidole wenje ni sawa na kujaribu kuupaka rangi upepo.

Mkuu huyu Machali ndiyo mwisho wake kuwa Mbunge.
 
rafiki machali acha kuwa machalari ya mbatia ,,,,, mbatia hawezi nyanyuka tena kisiasa,,,ameteuliwa mbunge strategies kuuvuruga upinzani moshi,,,hawakupata mtu baada ya kina ngawaiya kushindwa,,,,mbatia hawezi,,utaihia naye kisiasa,,, soma alama za nyakati,,,,,utapitwa na wakati ungali kijana,,huon maige inavyomgharimu kutaka kumentain,,,,,alitenda kazi kama mawaziri wazee ambao ni wastaafu,,,,akaanguka nao sasa anahaha,,,,tulia soma game,,,utajikuta unauhitaji ubunge kupitia cdm,,,,,take it from mimi mwenyewe,,,,
 
Machali na NCCR wenzie waache kulialia. They should grow up and act like MEN. Kulialia kila ukikosolewa ni utotot. Kama Wenje kasema wao ni CCM ni wamoja Machali alitakiwa ajibu kwa kuonesha ni jinsi gani NCCR ni tofauti au hawako pamoja na CCM. Hawezi kumuambia Wenje amuombe msahama kwa sababu amesema anachokiamini, sasa ni kazi ya NCCR kusema otherwise.

Na kama kweli NCCR-mageuzi sio vibaraka kwanini Kafulila bado yuko bungeni? Na kwa nini Spika wa bunge ambaye ni mjumbe wa CC ya CCM amtetea Kafulila? Sheria ya vyama vya siasa iko clear, ukifutwa uanacha na ubunge unapotea. Sasa kwa nini CCM watafute story za kuungaunga ili Kafulila arudi Bungeni? The same na Hamad Rashid na CUF yake.

Lakini sote tunakumbuka wawili walivyokuwa wanapiga kelele uwe kuwe na kambi mbili toka upande wa upinzani.

Hasira ya Machali ni kwa vile vitawi vyao vyote kule kusini vimekombolewa na CDM
 
Mkosamali hana inshu,kwa mtizamo wangu ni mtu ambaye hawezi kusimamia anachokiamini,ni kibaraka hivi wa Mbatia
 
rafiki machali acha kuwa machalari ya mbatia ,,,,, mbatia hawezi nyanyuka tena kisiasa,,,ameteuliwa mbunge strategies kuuvuruga upinzani moshi,,,hawakupata mtu baada ya kina ngawaiya kushindwa,,,,mbatia hawezi,,utaihia naye kisiasa,,, soma alama za nyakati,,,,,utapitwa na wakati ungali kijana,,huon maige inavyomgharimu kutaka kumentain,,,,,alitenda kazi kama mawaziri wazee ambao ni wastaafu,,,,akaanguka nao sasa anahaha,,,,tulia soma game,,,utajikuta unauhitaji ubunge kupitia cdm,,,,,take it from mimi mwenyewe,,,,

Mbatia ameteuliwa maalum kuvuruga kazi ya CDM kutetea wananchi bungeni
 
Nimemuona anatoka povu kabisa kumtetea boss wake. Kila mtu anajua kuwa Mbatia ni kibaraka na hata Hashim Rungwe alitutanabaisha, pia kila mtu anajua kuwa Mbatia ni bwabwa. Siasa za kujipendekeza namna hiyo za huyu Machali zinatia shaka kubwa na kukatisha tamaa vijana wenye ambition ya siasa maana amekuwa kama ni House Boy wa mwenyekiti kwa kukubali kutumwa na kutumiwa. Heri angekanusha Mbatia mwenyewe.

Machali anajaribu kupaka upepo rangi.Mbatia ajitokeze mwenyewe hadharani akanushe kama yeye sio mamluki aliyetumwa kuua upinzani.
 
kwani kakosea nini Wenje wabongo bwana yaani ukishasema ukweli tu unatakiwa uombe radhi, tz kwa demokrasia ipi hadi mpinzani ateuliwe na rais kuwa mbunge? haihitaji akili ya mzungu hilo.

Machali amshauri Mbatia aache ukibaraka
 
kashasoma upepo. Jimboni kwake wanamchukia baada ya bifu lake na Kafulila
 
Back
Top Bottom