Kama mgimwa naye ndani ya kapu la mafisadi nani atabaki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama mgimwa naye ndani ya kapu la mafisadi nani atabaki?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sammosses, Jun 4, 2012.

 1. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hatari,hatari kubwa sana kwa serikali,bunge na hata mahakama!Ikiwa mwenyekiti wa kamati ya bunge ya viwanda na biashara kwenda kinyume na wajumbe wa kamati na bunge basi hiyo ni hatari kwa usalama wa nchi na mali zake. Kulikuwa na ulazima gani kwa mh.huyu kukubali mwaliko wa bodi ya menejimenti ya TBS kwenda nchini Japan na China wakati kamati ya hesabu za mashirika ya umma ilikwishituhumu TBS kupitia ripoti ya CAG.

  Hali kama hii inaweza kuleta mtafaruku mkubwa kwa kamati teule za bunge na bunge lenyewe kutokuaminika mbele ya wananchi.KItendo hiki si kwamba kimelidhalilisha bunge na kamati zake bali pia kimemuondolea rais wetu umakini wa kuwateuwa mawaziri wake bila kuwachunguza.Pia nia aibu kwa chombo cha usalam kinachomsaidi rais na kumshauri aina ya wateule anaotakiwa kuwateua.

  Hali imetia doa kwa serikali(power and authourity of appoint) na bunge letu pia.Ni mara nyingi wabunge na wajumbe wa kamati za bunge wameingia kwenye mitego kama hii huku wakijinasibu ni wapambanaji na wenye uchungu na watu wanaofisidi mali za umma.Ndiyo maana nachelea kusema kama mh.Mgimwa naye ameingia kwenye mtego huu basi nchi imekwisha.Kwani ni miongoni mwa watu walionyesha kutopenda kutumiwa kwa maslahi binafsi.

  Kinachokera na kusikitisha ni kitendo cha kujaribu kumsafisha bwana Ekelege. Kwa jambo kama hili alilotenda mh huyu na kama kweli ni muumini wa utawala bora basi apime atuachie wizara yetu kabla hajaingiza taifa kwenye janga la uwizi kwa kuwalinda mchwa wasio na huruma na nchi hii.
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Sitadhani kama umeeleweka unachotaka kusema
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  unalalamika lalamika tu,habari hujaiweka vizuri
   
 4. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Wakati nasoma nikadhani mimi ndo sijaelewa!!!
  MAGAZETI YA UDAKU HUANDIKA HEADING NYINGINE NA HABARI NYINYINGINE KABISA
   
 5. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Unaonekana kama una jambo la maana sana la kutuambia, lkn bahati mbaya sana uandishi wako haueleweki. Tafadhali kaa chini utulie, halafu uiandike upya habari hii
   
 6. N

  Njaare JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu umeandika kama vile una document umeatach watu waisome ndo waje wasome maelezo yako! Kwa maana nyingine umewaffle! Hebu tuambie unataka kuujulisha nini uma wa watanzania?
   
 7. t

  thatha JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Mahmoud Mgimwa si mteule wa Rais bali ni mbunge wa Mufindi kasikazini na mwenyekiti wa kamati ya bunge ya biashara, viwanda na uwekezaji. Huyu ndiye alikwenda Japan na akina Ikerege wa TBS na aliporudi kaanza kumtetea lakini ilikuwa too late to catch the train kwani mgosi Dr Kigoda tayari alikuwa kishaamua nini la kufanya kuhusu Ikerege. Magazeti yameandika kuwa Mgimwa alikwenda ziara ya TBS kama mtu binafsi na si kama mbunge/mwenyekiti wa kamati ya bunge!! Hiki ni kichekesho cha mwaka kwanini hao TBS hawakumteua Sheikh Ponda kwenye safari yao? ni kwasababu Sheikh hana maslahi yoyote kwao lakini Mgimwa ana maslahi makubwa na ya wazi kwa TBS kwa nafasi yake ya uenyekiti wa kamati ya bunge. Kaenda safari kinyemela bila kibali cha spika eti ni ziara binafsi. Mhe Spika wajibibisha huyu mhuni. Nimepata habari huyu bwana Mahmoud Mgimwa ni kihiyo anatumia vyeti vya kughushi naendelea kufuatilia then nitakuja jamvini na taarifa kamili. Mteule wa Rais ni Dr William Mgimwa mbunge wa Karenga na waziri wa fedha.
   
 8. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  mahmoud mgimwa, william mgimwa. kuna tofauti? au ndo sijaelewa mkuu
   
 9. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #9
  Jun 4, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Veve Mwamunio unaonekana kama unahoja ya msingi lakini umetanguliza hulka yako!

  Naamini waziri wa fedha ni Dr William Mgimwa na si Mahamoudu Mgimwa! (labda mimi ndie nakosea)!

  Hebu tuliza mulkari kisha lete habari kwa undani! Hii hapa juu hujaweka kwa mizania halisi!

  Kamwene be mnyakilambo!
   
 10. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #10
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Sorry JF members for misleading, the one was appointed by president was William Mgimwa and one who am talking to is Mohamoud Mgimwa.Kwa staili hii basi kuna haja ya mh.Spika kumchukua maelezo ya kina mwenyekiti huyu kwa kutumia kanuni na sheria za bunge kumsimamisha uenyekiti wa kamati ya bunge ya viwanda na biashara kisha taratibu zingine zifuate ili haki iweze kutendeka na kuwa fundisho kwa wabunge na wajumbe wengine wa kamati mbalimbali.
   
 11. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Hapa kidogo nimeelewa,thanks.
   
 12. t

  thatha JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Be Sekirigi wiliga ndedado! lilefu vee! Dr William Mgimwa- waziri wa fedha na mbunge wa Karenga. Mahmoud Mgimwa - Mbunge wa Mufindi kasikazini na mwenyekiti wa kamati ya binge ya viwanda na biashara. Seyuva ino ukulwe, na matawa gaun'ya igo utije wi Nyerere we wisekirigi, sambi!!
   
 13. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #13
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Mkuuu hebu jaribu kutulia na kuandika upya
   
 14. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #14
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,962
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  i will never trust JK!
   
 15. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #15
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mgimwa aliyeenda huko na ekelge sio yule waziri wa fedhA majina tu yanafanana
   
 16. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  duh, sidhani kama mwenyewe anajua umemtukana. jamaa hajui kihehe
   
Loading...