Mbunge wa Jimbo la Bahi (CCM) apanda Kizimbani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa Jimbo la Bahi (CCM) apanda Kizimbani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bado Kidogo 2015, Jun 4, 2012.

 1. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa CCM apanda kizimbani

  Mbunge wa jimbo la Bahi kupitia chama cha (CCM), Omary Ahmed Badwel amefikishwa katika Mahakama ya Kisutu akikabiliwa na mashtaka mawili ya kushawishi na kupokea rushwa ya shilingi milioni moja.

  Source EATV
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Anastahili!
  Nenda mwanakwenda!
   
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Piga mvua nyingi huyo jimbo liwe wazi
   
 4. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na huyu ni miongoni mwa wabunge waliolipuliwa na Kafulila ila kutokana na kulindana kwa magamba wakashindwa kumchukulia hatua.

  Ama kweli muonja asali haonji mara moja.
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,949
  Trophy Points: 280
  kweli ccm wana njaa hadi mil 1 wanaomba rushwa?
   
 6. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Labda wanataka kuleta maigizo tena mahakamani, ngoja tuone mwisho wake.
   
 7. t

  thatha JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Ngoja niangalie jina lake. Anaitwa nani huyu mbunge?
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Na hii nadhani automatically inamdisqualify kuendelea kuwa mbunge, in case akiwa proved beyond reasonable doubt kuwa aliomba kikweli!
   
 9. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #9
  Jun 4, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Siyo njaa badi ni ukosefu wa maadili, ukisema njaa je Polisi si itakuwa tumehahalilisha wale rushwa kabisa?
   
 10. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #10
  Jun 4, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kabisa lakini kesi inaweza kuchukua hata miaka miwili hadi kwisha, hukumu inatoka muda wa kuchagua viongozi kwa mujibu wa katiba umepita hivyo kusubiri uchaguzi wa 2015.
   
 11. t

  thatha JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kumbe ccm kuna watoa rushwa? au huyu mbunge kagoma kutoa mchango wa j2. maana lowasa anatesa tu
   
 12. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  sala zetu zimeanza kusikilizwa
   
 13. Fekifeki

  Fekifeki JF-Expert Member

  #13
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mtoa rushwa na mpokeaji wote iliwabidi wapandishwe kizimbani!!!
   
 14. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #14
  Jun 4, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lowasa keshasema hawamuwezi.
   
 15. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #15
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hivi anaweza akapatikana na hatia kweli..!
   
 16. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Umefuatilia vizuri sakata hili kweli..!
   
 17. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #17
  Jun 4, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  huyu mwarabu njaa kweli.
  cdm shusheni kikosi kazi pale kabla magamba hayajabana.lile jimbo liko wazi tokea uchaguzi mkuu walivyomchakachua jamaa yangu wa pale cct.
   
 18. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #18
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  CCM itaielekeza mahakama imtie adabu ili waonekana wanafanya fairplay!
  Actually atakuwa SCAPEGOAT!
   
 19. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Hakuna kitu hapa ze komedi at its best. CCM wakiona ratings zao hazipandi kwa kesi hii wataifutilia mbali au haitasikika kabisa kama vile zile za Kina Mramba, Mgonja, Jeetu Patel zilivyotoweka katika sura ya maigizo ya kimahamaka.

  Hii kesi itakufa kama zilivyokufa zilisopita, ingekuwa aliyekamatwa ni mbunge wa CDM au chama chochote ambacho ni tishio kwa CCM, kesi hii ingekuwa ni wimbo wa kubembelezea mwana mpaka 2015. Maana ingeandikwa kwa mwezi mara 30 na kwa mwaka mara 365.
   
 20. Juniour K

  Juniour K Member

  #20
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama takukuru wataendelea kufanya kazi kwa makini kama walivyafanya kwa mbunge huyo huenda nchi yetu yetu ikapon,kwasababu viongozi walafi wenye tamaa wamezidi sana ndani ya nchi yetu ,imesababisha wananchi kukosa amani kabisa katika nchi yao tukufu,watu hawali wakashiba sababu ya wajinga wachache,mbona tunasikiasikia watoto wa wakubwa wanakamatwa na mihadarati,na wanatoa rushwa mnawaachia,takukuru nawapa pongezi lakini angalieni msije mkawa mnaangusha matawi tu mizizi mnaiacha inaendelea kunyonya maji ndani ya visima vitakatifu vilivyo ndan ya nchi yetu.
  :A S cry:tutamwaga machozi mwisho tutashindwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


   
Loading...