Wassira ndani ya DK 45 ITV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wassira ndani ya DK 45 ITV

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bado Kidogo 2015, Jun 4, 2012.

 1. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waziri wa nchi ofisi ya rais Mahusiano na uratibu Mh. S. Wassira naona yup ndani ya ITV kipindi ni DK 45 akidadavua mambo mbali mbali.

  Mpaka hapa naona anazungumzia suala la Zanzibar.

  Stay tuned au cheki ITV saa hizi.
   
 2. b

  bumes Senior Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  hacha tumsikilize bwana
   
 3. R

  RC. JF-Expert Member

  #3
  Jun 4, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 446
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wasira ndani ya nyumba.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mbona wanarudia rudia vipindi vyao hawa ITV???
   
 5. Chigwiyemisi

  Chigwiyemisi JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 531
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ni kipindi cha dk. 45, anasema mbali ya vurugu za Zanzibar hali ya kisiasa ni shwari. Anasema kuvunja muungano ni kuvunja nchi. Kama kawaida kila baada ya sentensi mbili lazima ataje CDM.
   
 6. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #6
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Huyo hana isu arudi gombe tu kwa wenzake.
   
 7. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Amezungumzia kuhusu kikundi cha uamsho ambacho anadai kimeacha kuhubiri mambo ya dini badala yake kimerukia mambo ya siasa hasa Muungano.

  Pia amezungimzia suala la tume ya katiba, amesema imepokelewa vizuri sana na hajapata malalamiko.

  Akamponda Mzee Mtei kwa kauli yake ya kusema kuwa tume imejaa wakristo.
   
 8. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ina maana hiki kipindi kimerudiwa mkuu? Daaah kama ni hivyo basi tunaweza kuwa tunawabore watu humu.
   
 9. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #9
  Jun 4, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Wassira ndani ya ITV...Ansema vurugu si za kidini,Anadai anaujua uislam vizuri kuwa haina shida na dini zingine.Anaingia kutajataja CDM.Anataja CUF kuwa wantaka serikali 3,halafu kwa CDM anadai kuwa wanataka za majimbo..sijui kwa nini hajawaelewa siasa...kwani majimbo ni kwa ngazi ya chini ,Kitaifa wanataka Serikali 3.

  Jamaa hajui kuwa uhalifu ni uhalifu sas yeye kudai kuwa zaznibar si udini bali ni uhalifu anonekana kutojua anachoongea

  Jamaa anasound km useful idiot, na anahofia CDM kiasi kwamba ndio anawaongea kwa kila swali.
   
 10. M

  Mulisaja Member

  #10
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Huyu jamaa hana mpango kabisa.Sijui CCM wanampendea nini labda huu utemi wake.Eti anasema kujenga kanisa nisawa na mtu kuwekeza baa.
  Hana mpango huyu
   
 11. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wassira amesifu sana mitandao ya kijamii lakini hajataja JF kuwa propaganda ya CDM.

  Anaendelea kuiponda CDM kuwa inachokifanya sasa CDM ni kuwaaminisha wananchi kuwa itachukua nchi mwaka 2015 lakini ilifanya hivyo hata baada ya kuanzisha operation Sangara!!!
   
 12. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #12
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Arudi Gombe? Gombe si ndio ile hifadhi yenye sokwe mtu wengi? Ina maana na yeye nae ni sokwe mtu? Ila mmmh...........kweli kafanana nao lol!!
   
 13. M

  MZALAMO JF-Expert Member

  #13
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 471
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 60
  Hana sera muda mwingi anaongelea CDM tu sijui imemfanyia nini.
   
 14. p

  pema Senior Member

  #14
  Jun 4, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  je umefuatilia kwa umakini na kujua itv inafanya nini?
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  haaaaa nirijua kile cha nyuma kumbe wamemuita tena!
   
 16. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anasema CDM ilitangaza kuwa wanachama 10,000 wa CCM wamekihama chama hicho lakini ukweli ni kuwa Magamba hayana wanachama wanaozidi 10,000 Arusha hivyo kama wananchama 10,000 wamekihama chama hicho basi CCM itakuwa haina mwanachama!!!!

  Akasema hii ni propaganda ambayo wananchi wanaweza kuipuuza.

  Ninachokiona huyu mzee kaiva kipropaganda.

  Anaanza kuiponda M4C, eti haielewi kuwa changes inaweza mbele au nyuma.
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wasirra anaichana chadema!!
   
 18. U

  Uswe JF-Expert Member

  #18
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  nilikua namsikiliza prof Tibaijuka kwenye Jenerali on Monday, what a brave woman this is, sasa nimetoka kwa jenerali nimehamia huku ITV yaani sipati picha hawa huwa wanakaa kwenye baraza moja la mawaziri, yaani ni vitu viwili tofauti!
   
 19. M

  MZALAMO JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 471
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 60
  Naona ametumwa kuja kuishambulia CDM tu.
   
 20. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #20
  Jun 4, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Mzee ana sumu huyu utafikiri black mamba..yaani kama siyo mtu makini unaweza ukamwamini..kumbe hamna kitu.
   
Loading...