Natangaza nia kugombea Ubunge(ujumbe) wa Bunge la KATIBA

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,402
7,310
Nitawaomba wananchi wenzangu wa LINDI..kunipa nafasi..nikasimamie maslai yetu(wananchi)walala hoi..nikakomae na walala Kheri..wasije tupiga bao la kisigino

Naanza na ibara ya 8(vifungu vyote)Ibara 9(vifungu vyote)Ibara ya 11(vifungu vyote)
VIFUNGU VINGI VIKO KINYUMENYUME
 
Back
Top Bottom