bernardp
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 619
- 918
Kwa maoni yangu, dalili za kuwa Muungano tulionao unaelekea kifo zipo wazi. Labda utakufa kabisa au utabadilishwa muundo kwa kiwango kikubwa ili upate angalau ka uhai ka muda, kabla ya kifo rasmi, pale mojawapo ya nchi hizi itakapoitisha kura ya maoni.
Kutokana na hilo, nadhani ni muda muafaka kwa watanganyika tukaanza harakati za makusudi kudai nchi yetu, na kuwasaidia wenzetu wazanzibar wanaoona tumewatawala.
Ikumbukwe kuwa waingereza walituacha nasi tukajitawala tulipotaka.
Tuwaunge mkono wazanzibar, kwa kuidai Tanganyika na serikali ya Tanganyika.
Tuwatake wazanzibar waliojazana bungeni na kwenye wizara zetu waondoke..
Nakaribisha michango ya wanaoguswa...