CHADEMA lazima itashinda uchaguzi 2015 - Maige | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA lazima itashinda uchaguzi 2015 - Maige

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Jun 3, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mbunge wa Msalala CCM Ezekiel Maige amekitabiria ushindi mkubwa chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

  Maige amesema hiyo inatokana na vita ya makundi ndani ya chama hicho ambacho baadhi ya wanachama wananyooshea vidole wanachama wenzao kwamba ni mafisadi.

  Ametoa mfano katika jimbo lake mwenyewe la Msalala kwamba ana uhakika jimbo hilo litachukuliwa na CDM kutokana na chuki na fitina za wanaCCM wenyewe.


  SOURCE: NIPASHE JUMAPILI
   
 2. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
 3. Y

  Yetuwote Senior Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ana haki ya kusema ukweli na huo ndo ukweli wenyewe.
   
 4. p

  petrol JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 322
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  kapoteza uwaziri huyo. sasa anaweweseka. mpotezeeni hana jipya, na siyo news tena
   
 5. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Kiongozi, huyu hajafunguka isipokuwa "Koki" imefumuka kama "shampeni". Lol!
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Ipo wazi sana cdm kushinda 2015 haiitaji phd kujua hilo!
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  creating antagonism among politicians is the only way to meet the demands of citizens
   
 8. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 255
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Nape alishaliona hilo na ameahidi hata ccm ikiwa ni chama cha upinzani bado yeye hatahama, na ataendelea kupiga majungu hadi abaki pekeyake.
   
 9. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Namshauri ajiwahi mapema kuhamia CDM la sivyo jimbo lake Msalala liko rehani!!!!!!ingawa ajiandae kupambana na kesi toka kwa magamba hawatamuachia hivi hivi!!
   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Right thing at a right time from a wrong person!
   
 11. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Lakini Maige kwanini ayaseme haya sasa na si wakati akiwa serikalini?
   
 12. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Angerudishiwa uwaziri ili asiongee hayo jamani anaua chama chetu
   
 13. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,694
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  "CCM imepoteza dira na mwelekeo" - Hayati Horace Kolimba.

  Jiangalie Ndugu Maige.
   
 14. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,494
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  Imetulia hii.
   
 15. ZALEOLEO

  ZALEOLEO Senior Member

  #15
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  maige kumbe ni muongeaji namna hii? Kila siku anaongea yeye tu
   
 16. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  vita vya makundi ccm haiwezi kuwa sababu ya ushindi wa chadema.
  ushindi wa chadema utaletwa na watanzania wazalendo wanaotaka mabadiliko na sio vizee vya ccm.
   
 17. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Anasafisha njia ili aje CDM! Karibu sana!
   
 18. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #18
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Na hichi ni kipaji chake kilchofunikwa mwanzoni.
  Unabii....
  Ahsante kwa kutusemea mema Maige!
   
 19. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #19
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Sasa yeye anangoja nini CCM? Si ajivue gamba, na ku-confess mbele ya Watanzania wote uzembe alioufanya maliasili hata kupelekea twiga wetu kuibiwa wakiwa hai? Anaendeleaje kubaki kwenye chama ambacho ni dhahiri kinaelekea kufa?
   
 20. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  CHADEMA haihitaji mafisadi na wezi! Nadhani huu ni wakati muafaka kwa mafisadi kujiandaa kisaikolojia kuishi magerezani!
   
Loading...