Baada ya Zanzibar Bukoba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya Zanzibar Bukoba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by opportunist2012, Jun 1, 2012.

 1. o

  opportunist2012 Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna kila sababu sisi ijana na Watanzania wote tukipe ridhaa CHADEMA kiunde serikali mwaka 2015. CCM ni chama muflisi kilichoshinda kuzuia ubaguzi wa aina zote.

  Hata vurugu za ZNZ ni matokeo ya kuwa na serikali legelege yenye usalama wa Taifa wanaolinda viongozi na kuwaacha raia wakiharishiwa maisha yao na wahuni wachache.

  Yaliyotokea ZNZ hata Bukoba yaweza tokea. Watanzania wasio wazawa wanabaguliwa kana kwamba wanyama.Wamepachikwa majina mbalimbali yanayodharirisha utu wao, mfano wanaitwa WANYAMA ANGA yaan wanafananishwa na ndege.Hali ipo hata ktk ajira.

  Mfano halisi ni idara ya elimu sekondari ambapo afisa ana sera ya kuwapendelea walimu wazawa wa Bukoba na kuwabagua walimu wa mikoa mingine.

  Imeshawahi kutokea mkuu wa shule wa Rutunga alimshitaki mwalimu mkorofi kwa afisa elimu,afisa elimu baada ya kujua yule mwalimu ni mhaya alimlaumu yule mkuu wa shule kwa nin amemshitaki huyu mwalimu.asema lazma tuwalinde vijana wetu angekuwa si mhaya tungemuadhibu, hii ndio serikali ya CCM yenye watendaji wabaguzi huku ikibariki ubaguzi huo.

  TUSIPOIWEKA CDM MADARAKANI 2015 TUTAZIDI KUJUTA!!
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Uzi huu hauna mashiko. Kuna connection ya mbali sana tena ya kulazimisha na siasa. Mods hamisheni hii!!!!
   
 3. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  wewe mlopokaji tu,kwanza huko Bukoba kunaishi watu makini wewe hapakufai kabisa.. Bukoba hakuko hivyo..wanyamaanga ni neno la kawaida tu
   
 4. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,164
  Likes Received: 1,167
  Trophy Points: 280
  kyasaka!
   
 5. o

  opportunist2012 Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe utakuwa UAMSHO damudamu...nyinyi ndo mnatuharibia nchi.Nyerere aliwapinga sana nyinyi na tabia yenu ya ubaguzi.
   
 6. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,036
  Likes Received: 3,067
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama hauna tatizo na wahaya,kusema kweli tatizo lako si bukoba bali wahaya lakini isikupe shida ..mbona kigoma wageni watumishi wanalazwa nje uchi wa mnyama,mbona kule Klmanjaro wana jina lao kwa wasio wachagga pia?

  Mkuu una tatizo na wahaya?
   
 7. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  bila hawa watu,Tanzania ingekua na hali mbaya kuliko iliyopo sasa, mbona nyie ambao mwalimu nyerere aliwapa nafasi mmetusababisha kuwa taifa ombaomba
   
 8. B

  BOTOPLAM Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We jipange upya! Walimu wangapi wantenda hayo uloyasema Tanzania hii? N-way, najua huna data za kutosha, tuulizeni sisi nasi tulio nje ya nyumbani. Tabia ya mtu mmoja usiihamishie mkoa mzima na tena ukome kabisa! Unajua huko CDM (japo ni chama langu) kuna mtu, tena mbunge anahutubia watu akisema anataka Kaskazini iwe nchi, JE TUSEME CDM WOTE WALIKUWA HIVYO? Wizarani (karibia zote) unaposikia kila kukicha kwamba wako mabila flani flani, Polisi inaposemekana vyeo vyote ni vya kabila na dini flani, NSSF tulipoambiwa kuna ....... flani.

  Hilo jina ulilolinyumbua, si la leo Bukoba, tangu zamani za mababu wasiojua kiswahili cha kujua kwa EBIGUNJU ndo wanaitwa wanyama, walilitumia kuongelea yeyote ambaye alionekana kutoka nje ya mkoa huo na hajui kuongea lugha yao.

  Je, umefuatilia kuona makabila na mikoa mingine wanasemaje kuhusu wageni, au etc. (end of thinking capacity) yako imeishia BK?

  CHADEMA ni chama chetu lakini tusiingie kwa hasira za kutaka kulipiza visasi katika mabaya yalotendwa na wengine, hapo tutashindwa. Bali tufikirie zaidi ni jinsi gani tutaweza kuivusha nchi kwenda kwenye TANZANIA TUITAKAYO:israel:
   
 9. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja
   
 10. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,638
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Ya Zanzibar ni udini, ha Bukoba ni uzawa. Hakuna uhusiano hapo, kajipange vizuri
   
 11. B

  BOTOPLAM Member

  #11
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kabisa hufai wewe!
   
 12. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,036
  Likes Received: 3,067
  Trophy Points: 280
  Baba ulinyimwa mke nini huko bkb?mbona huko subjective sana?nachelea kuongea sana na kwa mifano juu ya mada njaa yako make tunajenga tusikimbilie kubomoa mapema.

  Nakushauri utumie bongo yako kujenga hoja,hoja za hivi zinakuunderate sana mkuu as i know you well.
   
 13. Mzururaji

  Mzururaji JF-Expert Member

  #13
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,236
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Mkemkuu: nimekuelewa mwl mbona kawaida na pole kwa hlo lakn wana jf jamaa kamgusa afsa elimu kwann usimzungumzie afisa elimu mnabaki kutokwa na pozi hii kitu inaboa ndo mana nyerere mtu wa mtwara alimpeleka kigoma wa kigoma mtwara nw ukienda halmashaur hizi asilimia kubwa ni kabila moja ndo mana haya yanatokea
   
 14. o

  opportunist2012 Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hali mbaya ipi?umeshawahi fika Bukoba?maendeleo mabovu ya bukoba unaweza kulinganisha na MWZ,AR au DSM?Kwa nin wasiendeleze kwao?
   
 15. Mzururaji

  Mzururaji JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,236
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  mzungu mzie afisa elimu aliye toa iyo hoja sio unatokwa na povu tu mdomon
   
 16. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,164
  Likes Received: 1,167
  Trophy Points: 280
  Abanyamahanga = wana wa mataifa, E'hyianga = taifa
   
 17. o

  opportunist2012 Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nina mashaka na uelewa wako.Siasa ni mfumo mzima wa maisha ya binadamu.huwezi kutenga siasa na ubaguzi.JIPANGE UPYA!!
   
 18. o

  opportunist2012 Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Najua wewe ni walewale,nani asiyejua kuhusu tabia mbovu za ubaguzi za wahaya?Wangapi wamekimbia kufanya kazi Bukoba kwa ubaguzi?
   
 19. o

  opportunist2012 Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ushauri wa bure:jenga mazoea ya kufuatilia habari mara kwa mara.ZNZ ni uzawa na udini.wamekuwa wakiwakataa wabara kwa muda mrefu huku wakipinga ukristo.halikadhalika hali hiyo hata Bukoba ipo,waislamu wanabaguliwa.
   
 20. o

  opportunist2012 Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ahsante kwa ufafanuzi wako,lkn ndugu zako wanatumia neno wanyamahanga vibaya.wanahusisha na kutokuwa mhaya yaan wakuja ambaye hana thaman bukoba.
   
Loading...