PICHA; Mkutano wa CHADEMA Newala Jana!

PICHA; Mkutano wa CHADEMA Newala Jana!

Kiganyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,242
Reaction score
765
[h=3][/h]

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa mji wa Newala mkoani Mtwara, katika mkutano wa hadhara, leo. (Picha na Joseph Senga)


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiagana na wananchi wa kijiji cha Nanguruwe baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara.


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiwauzia kadi wananchi waliojitokeza kujiunga na chama hicho, mara baada ya mkutano wake wa hadahara mjini Newala, mkoani Mtwara kwenye viwanja vya Mahakama.
 
Mungu ibariki tanganyika, mungu ibariki zanzibari, rip tanzania
 
Haya wale wanaojifanyaga wanaakili nyingi za kutaka kuhoji kila kitu, wakahoji malengo ya mkutano wa dar.
Ninawaomba kwa heshima, tahadhima na unyenyekevu waje kuhoji na kinachoendelea huko kusini.
Mungu ibariki M4C!
 
Mungu ibariki chadema mungu tubariki Watanzania. Utuhepushe na hili balaa tulilo nalo la Utawala usio na macho!
 
Mleta uzi pls kuna picha nimeona kwenye mwananchi ya leo mbowe kazuiwa na raia kijiji fulani kama waweza kaka tuwekee hapa,inatia moyo vile watu walikuwa na kiu na m4c.
 
hili kombola la M4C ni kama kombola la gas, yaani unashitukia limekupata bila hata kuliona, ona humu lililowapata wanavyohaha
 
hivi ccm imebakiwa na wapi ikiwa hata huko watu wametambua haki zao.? Mungu ibariki tanganyika.
 
Move hii nzuri waende hivo hivo wakatokezee Ruvuma na viunga vyake halafu njombe na mafinga
 
Uvuvi ndio kazi ya ndoano na hasa ukizingatia chambo aliyewekwa. Chadema songa Mbele tuko pamoja

Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom