Nani mwanasiasa unaependezwa naye,ungependa awe role model wako TZ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani mwanasiasa unaependezwa naye,ungependa awe role model wako TZ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dik, Jun 5, 2012.

 1. D

  Dik JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wana jf binafsi namu admire sana JJ MNYIKA ktk field ya siasa kutokana na umahiri wake katika kuchambua hoja!

  Je,ww mwana jf ni mwanasiasa gani ambaye ni role model wako?
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  JJ MNYIKA, Tundu Lissu, Zitto Kabwe na Freeman Mbowe
   
 3. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lema, Mbowe, Lissu, Slaa.
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  role model wangu hapa tanzania hajazaliwa bado
   
 5. j

  joely JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,030
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Mh STEVEN WASIRA
   
 6. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Zuberi Zitto Kabwe is my role model. Sio tu kwa sababu anatoka chama ninachokipenda na kukiheshimu, lakini Zitto ana qualities ammnbazo ni nadra sana kumkuta nazo kiongozi kijana kama yeye.
  Zitto hapelekeshwi na mtu hata siku moja, anajiamini na muda mwingi anasimamia ukweli kuliko kusukumwa na mkumbo ama personal interest.
  Zitto ni kiongozi anayejua maana ya upinzani na anajiamini sana kwa mambo anayoyafanya.
  HE IS MY TRUE ROLE MODEL...
   
 7. M

  Mzalendowetu Member

  #7
  Jun 5, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Wabunge makamanda wote wa CDM
   
 8. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  wabongo bana....mnapenda vitakwimu vya kipuuzi sana......
   
 9. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  My role model is Benjamin W. Mkapa, nilipenda sana style ya uongozi wake na hata sasa bado anasimamia misimamo yake. Swala la ufisadi hakuna aliyemkamilifu, nayapenda mema aliyoyafanya kwa ujumla
   
 10. Masaningala

  Masaningala JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 539
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Nyerere RIP. Hajatokea mwingine kama yeye hapa TZ. Tuombee atokee miongoni mwa wajukuu zetu wanaokuja.
   
 11. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Jakaya mrisho kikwete
   
 12. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Dkt. Slaa and Filikunjobe
   
 13. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #13
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Lusinde wa Mtera
   
 14. sheiza

  sheiza JF-Expert Member

  #14
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,965
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  DR WILBROD PETER SILAA.. amenifanya nijue THE BEAUTY OF THE POLITICS..sasa nalala siasa naamka siasa..kasababisha niijue tanzania tuliyomo na kunitoa kwenye kifungo cha ujinga kwa miaka mingi kwa kuamini JESHI, SERIKALI na TISS ni vitu vya kuvitamka kwa sauti ya chini tena ukiwa chooni peke yako.. nina mengi sana ila hayo kwanza..
   
 15. S

  Starn JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  NAPE huyu ni jembe
   
 16. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #16
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Prophet G. Lema hasa kwa harakati na ujasiri wake.

  Zitto kabwe hasa kwa demokrasia yake na misisimamo yake.
   
 17. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #17
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  William John Samwel Malecela, mtoto wa waziri mkuu mstaafu John Malecela. Napenda sana anavyoendesha siasa zake hasa kwenye wall yake ya fb.
   
 18. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Dr Wilbrod Slaa
   
 19. J

  JUDITH MGASSE Member

  #19
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  namadmire Mh. Ben! napata raha ata nikimwona anaongea! huwa anajiamini na naonesha kufahamu nini anaongea.......! he is always serious! nam admire sana! mh. slaa kanifanya nipende siasa, Halima Mdee nampenda huwa anajiamini sana wanawake wachache wako kama yeye! Mh mbowe, January Makamba!
   
 20. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #20
  Jun 5, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  Maige,Ngeleja,Wasira,lusinde
   
Loading...