CUF Bara itakufa sambamba na Muungano

:sick: Natabiri kuwa CUF haina uhai Bara endapo Muungano utakufa!
Mbona hujatabiri pia kwamba ccm itakufa zanzibar muungano ukivunjika? Au kwa mawazo yako unadhani ccm itaendelea kutawala zanzibar bila kuwako muungano?
 
cuf wala muungano havitakufa, ila watu ndio watakufa kwa ajili ya muungano na cuf.
 
:sick: Natabiri kuwa CUF haina uhai Bara endapo Muungano utakufa!
Hata ccm nayo itakufa kwani ni muungano wa vyama 2 toka bara na visiwani kama cuf ilivyoungana kati ya chama cha james mapalal na sharfu hamad.
 
Ife mara ngapi???
Imekufa kitambo na mazishi yalikua ile siku lipumba aliyopokelewa kutoka umoja wa mataifa kusoma speech.
 
Ni kweli cuf ishakufa ama itakufa Bara kwasababu Watanganyika wengi wamevamia chama chao cha KANISA......CDM. Lakini CCM Zanzibar nayo pia itakufa kwani ishatuchosha na huu MUUNGANO wao na ndio maana Wazanzibar kwa pamoja tupo ktk harakati za kuung'oa Muungano na vibaraka vya muungano....ccmHivyo kufa kwa CUF Bara sio ishu la muhimu ni JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA.........
 
Back
Top Bottom