Flag Bearer wa urais CHADEMA 2015 ni Dr. Slaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Flag Bearer wa urais CHADEMA 2015 ni Dr. Slaa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AdvocateFi, Jun 5, 2012.

 1. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nikifatilia kwa makini mienendo na harakati za Dr slaa toka baada ya uchaguzi wa 2010 mpaka leo ktk M4C inayoendelea huko kusini, Ukweli Dr slaa ameonekana akiwa mwiba sana kwa CCM na kuwa chachu ya mabadiliko makubwa ya kisiasa hapa nchini.

  Hebu kwenye ukweli tuseme ukweli ni nani kama Dr slaa? Kwanini CCM na wapenzi wake hawatamani CDM imsimamishe Dr slaa kugombea urais 2015?

  Siku zote adui hawezi kukufundisha mbinu za kupigana vita ili mpigane nae wala simba hawezi kumfundisha yanga mbinu za ushindi.
  CDM wake up 2015 Dr slaa awe flag barrier wa chama.

  Note:
  Haya ni maoni binafsi na sio ya chama.
   
 2. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hebu haya mambo ya nani atagombea tuyaache kwa sasa. Tujenge chama, tutoe elimu ya uraia kwa watanzania na kuhamasisha watu wote kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura pindi muda utakapofika. Bila kuwa na raia wa kutosha wenye kadi halali za kupigia kura itakuwa ni sawa na bure.

  Hayo ya nani atapeperusha bendera ya chadema kwenye kinyang'anyiro cha urais tusubiri hiyo 2015. Kwa sasa ni mapema mno kuanza kutajataja watu.
   
 3. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  "Bearer" for phucksake.

  Kiswahili kina shida gani?
   
 4. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  ni flag bearer..lol
   
 5. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Asiposimamishwa Zitto haitaeleweka.
  Fanyeni kosa muone ......mtakuwa mmemwaga ugali na hivyo wengine watamwaga mboga....ha-ha-ha.
   
 6. J

  Joblube JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Uko juu. Watake wasitake huo ndio ukweli tumekaa kwenye giza vya kutosho tumeongozwa na mafreemanson na Yahaya Husein vya kutosha sasa ni wakati wa kutoka na kuja nuruni. Wao wana majeshi si tuna Mungu aliyehai.
   
 7. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Yaani hata watu wasio Chadema wanataka kuingilia mchakato wa chama wa kupata mgombea? Chadema haiendeshwi kwa remote control.
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  jamani ni kueleweshana na kusahihishiana sio lazima matusi bt ujumbe umefika kwa mtoa mada
   
 9. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  What if Dr Slaa akigombea kupitia CCM? Siasa ni mchezo mchafu wanaoongoza Kenya wote walikuwa KANU
   
 10. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Mungu hakukosea kukupa 0 4M4 maana ungejitapa sana, ila ukweli hushaupata.
   
 11. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Mkuu mungu akubariki lakini si unajua makosa wameumbiwa watu na sio miti.
   
 12. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  No no way Zitto hawezi kuwa Rais 2015, CDM haiwezi kufanya kosa hilo hata kidogo, na ninafurahi kuwa wameshamuonyesha hilo huko nyuma. Amezuiliwa kugombea uenyekiti wa chama na amepigwa chini uongozi wa kambi ya upinzani bungeni, what else? Urais asahau tu kwa sasa kwa manufaa ya Tanzania.
   
 13. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #13
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Zitto anakubalika sana kitaifa akilinganishwa na Mbowe au Slaa.
  Ana uwezo mkubwa wa kuongoza na ni mzalendo wa dhati.
  Tatizo ni CDM na malengo yao. Hawataki kumpa nafasi kwa sababu anaonekana 'si mwenzao', kwa sababu labda si wa Kaskazini.
  Wenye 'kampuni' wanamwona ni 'mnyamahanga' (Kihaya), au 'chasaka' (Kichagga). Na hii hali ndo itakayoimaliza CDM.

  Bado nasisitiza, ASIPOSIMAMISHWA ZITTO UCHAGUZI 2015, .... kitanuka!
   
 14. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #14
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Si mumpatie nafasi uko ccm kama mnaona anafaa........ngombe
   
 15. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Sasa kama huna hoja si uache kuposti tu? Unachafua jamvi kwa kumwita mwenzako ng'ombe.......tumbili.
   
 16. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #16
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Zito hana mvuto, umri wake bado mdogo, tumwache mzee Slaa atuongoze tuone atatufanyia nini jamani.
   
 17. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #17
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  ni mtazamo wako tu, CDM sio kampuni, ni chama cha siasa
   
 18. rugumisa

  rugumisa Member

  #18
  Jun 5, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na nyinyi wa ccm mnaompenda zitto muwe mnasoma katiba jamani.hamjui umri wa rais unatakìwa uwe miaka mingapi?na mnadhani huyo mtu tajwa'zitto' anaweza pia kupata kura milion moja?na ripoti ya synovate inasemaje?humu kuna wasomi mkiongea ongeeni kwa facts sio kuongea kwa hisia.
   
 19. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #19
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  CHAMA KIJENGWE KWANZA, RAIS HUONGOZWA NA KATIBA, RAIs NI MSIMAMIZI TU WA KANINI WATU WANAZIJIWEKEA..

  VIJANA WOTE NDANI YA CDM WANAFAA SANA .. ILA ZIPO TARATIBU AMBAZO KILA MTU KUPITIA TARATIBU HIZO ATAAFIKI NANI APEPERUSHE BENDERA YA CHAMA..

  BIDII YA DR SLAA SIO KUUTUMIKIA URAIS BALI KUMTUMIKIA MWANANCHI .. NA DHIMA YAKE HIYO HAITAKUFA..

  ILA WAKO WENGINE NDANI YA CHAMA AMBAO KWA HAKIKA WANA AKILI ZA KIPEMBAWE, WANATAMANI SANA KUWA MARAIS, HAWALI HAWALALI LENGO WAUKWAE URAIS SIKU MOJA..

  NI WAVIVU KUPINDUKIA, KAZI ZA SHURUBA ZA KUJENGA CHAMA WAO NI MWIKO KUZIFANYA, SIKU ZOTE HUTEGEMEA SANA KUPIGA DOMO NA KUZUA YA KUZUA KWA MINAJILI YA UMAARUFU..

  URAIS NI KAZI SIO DOMO, NADHANI TUFANYE KAZI KWA BIDII KWANZA MENGINE TUTAJUA..
   
 20. H

  Hingi Jr Senior Member

  #20
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukanda ndio unaimaliza CDM! Ukifuatilia kwa umakini utagundua CDM haiko tayari kuona mtu au mwanachama yeyote kutoka mikoa isiyo ya Kaskazini anataka either kuwa mwenyekiti wa CDM or kuwa MGOMBEA wa Urais ndio maana mzee Mtei akisikia tu mtu wa kanda zisizo za Kaskazini atakuwa mkali utafikili mtu huyo kisha chaguliwa.Kwa nionavyo mimi chadema wana safari ndefu sana ya kuchukua nchi hii.Lazima waachane na ukanda kwanza waweke nchi mbele.Tusubili na tuombe mungu 2015 tufike na wanaodhani CDM itashinda wajiandae kupata ugonjwa wa Moyo kwani hata kura alizopata Dr Slaa mwaka 2010 Mgombea wao hatapata na hata sehemu walizopata wabunge mwaka 2010 kama Nyamagana,Kawe,Ilemela,Ukerewe,Arumeru,Arusha hawatashinda anaebisha asubili 2015 aone CDM itakavyopoteza mwelekeo na watabaki kusema wameibiwa.
   
Loading...