M4C ndani ya Ndanda ~ Masasi

Ukana Shilungo

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
3,041
2,422
Jana katika viwanja vya Madeko Ndanda, Lema alimwaga sumu ya M4C,magamba si chini ya 25 walirudisha kadi miongoni mwao akiwamo kigogo mmoja wa hospitali ya misheni ya Ndanda na kuchukua kadi ya CHADEMA.

Pia alimchana mbunge wa Masasi akidai wabunge ni wa CHADEMA, mbunge 1 wa CHADEMA ni sawa na wabunge magamba 50.

Alizungumzia pia utajiri tulionao ila nchi yetu ni masikini,hii ni sababu ya chama magamba.

Kifupi mambo yalikuwa shwari,kesho nitapaisha picha baadhi za kamanda lema wakati akiwa Ndanda viwanja vya Madeko muda mfupi kabla ya kurudi Masasi mjini kuwaga sumu nyingine Wilayani.

Kusini hakika watu wanaamka baada ya kuhamasika.

Pipoooooooooooo!
 
Tunashukuru kwa taarifa.

Kwa faida ya wengine:
Tuache kutumia neno :"CHADEMA wamwaga sumu".

Wanachokifanya chadema si kumwaga sumu bali kutoa elimu ya uraia/kuwaeleza ukweli watanzania juu ya dhulma inayofanywa na chichiemu. Hiyo si sumu, bali ni mwangaza wa matumaini.

Sumu kazi yake ni kuua. Elimu itolewayo na CHADEMA haiui bali inarudisha matumaini yaliyopotea.

Kwa hiyo kama ni sumu chichiemu ndio inayomwaga sumu kwa wananchi wake kwa minajili ya kuwaua na CHADEMA inachofanya ni kuiondoa sumu hiyo ili kuwarudishia wananchi uhai wao ambayo ni haki yao stahiki.
 
Ahsante kwa taarifa! hakika watu wanaelewa sana sasa kuwa siku za kuanza kufaidika na rasilimali za nchi yao zimefika!!
 
Tunashukuru kwa taarifa.

Kwa faida ya wengine:
Tuache kutumia neno :"chadema wamwaga sumu".
Wanachokifanya chadema si kumwaga sumu bali kutoa elimu ya uraia/kuwaeleza ukweli watanzania juu ya dhulma inayofanywa na chichiemu. Hiyo si sumu, bali ni mwangaza wa matumaini.

Sumu kazi yake ni kuua. Elimu itolewayo na chadema haiui bali inarudisha matumaini yaliyopotea.
Kwa hiyo kama ni sumu chichiemu ndio inayomwaga sumu kwa wananchi wake kwa minajili ya kuwaua na chadema inachofanya ni kuiondoa sumu hiyo ili kuwarudishia wananchi uhai wao ambayo ni haki yao stahiki.
pole sana kwa uelewa wako mdogo ,symbolic language,ni lugha ya picha.
 
Jana katika viwanja
vya madeko ndanda, lema alimwaga sumu ya m4c,magamba si chini ya 25
walirudisha kadi miongoni mwao akiwamo kigogo mmoja wa hospitali ya
misheni ya ndanda na kuchukua kadi ya chadema,pia alimchana mbunge wa
masasi akidai wabunge ni wa chadema,mbunge 1 wa chadema ni sawa na
wabunge magamba 50,alizungumzia pia utajiri tulionao ila nchi yetu ni
masikini,hii ni sababu ya chama magamba,kifupi mambo yalikuwa
shwari,kesho nitapaisha picha baadhi za kamanda lema wakati akiwa ndanda
viwanja vya madeko muda mfupi kabla ya kurudi masasi mjini kuwaga sumu
nyingine wilayani,kusini hakika watu wanaamka baada ya
kuhamasika.pipoooooooooooo!

Pole kwa wanaosema Lema hana mvuto tena, watachekea chooni!
Mbele mbele! Makamanda!
 
Asante kwa tarifa jitahidi kesho utuwekee na picha.walisema CDM ni kaskazini tu sasa wamejionea wenyewe ndani ya Operesheni okoa kusini.Hakuna operesheni iliyo anzisha na CDM ambayo haikuza matunda.Tusubirie 2015 watayaona matunda yake.M4C
 
poa tuko pamoja,nitafanya usihofu.
 
Penepo kumui kabisa safi ashlungo mpaka mother aliatend hapo na muziki wa Cdm ameukubali
safi nimeipenda'' hapano tugagona mpaka shimanyishe'' hapa hatulali mpaka kieleweke,ok nashukuru kama alikuwepo,tuendelee kusapoti m4c,freedom is comming soon.
 
nukuu za mbunge wangu hon.Lema"nitazunguka Tanzania nzima kutoa somo la uraia na kuwatengenezea watanzania mioyo ya ujasiri MSIOGOPE MSIOGOPE"
 
poa nakuelewa nitamaliza mambo hayo kesho,kama nilivyoombwa nitatupia picha kadhaa kuonesha uhalisia wa m4c.
 
Ninapozisomahabari za M4C ikipasua anga huko Mtwara Lindi na viunga vyake naona taswira ya CCM wakiwa mahakamani wakiupinga ushindi wa CDM wa ngazi ya Urais,pembeni namuona mh Tindu Lisu akiwasmbaratisha kwa hoja nzito zenye mashiko,wenye CCM kwaheri kwaheri tunawatakia maisha ya taabu huko muendako
 
ni kweli chama magamba hawana lao kabisa,kimewabana kinyago vibaya mno,waanze kufungasha kutoka magogoni.
 
safi ndugu Mashami,ni kweli katoa elimu ya uraia watu wamemsoma,harakati hizi lazima zizae matunda.
 
Back
Top Bottom