CCM wagawa nakala za gazeti la sauti huru bure kwenye kampeni zake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wagawa nakala za gazeti la sauti huru bure kwenye kampeni zake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KOMBAJR, Mar 25, 2012.

 1. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wanabodi katika hali ya kuendeleza siasa za maji taka kama siyo kutapata kwa ccm katika kampeni za jimbo la arumeru mashariki ccm wagawa nakala za gazeti la SAUTI HURU ambalo linatoka kwa wiki mara moja na linauzwa sh.500 wao ccm wakitoa bure kwa wote waliohudhuria mikutano gazeti lenyewe likiwa limebebwa na story zinazoichafua CDM ikiwa kama ni mbinu ambayo wao ccm wanaona itawasaidia baada ya matusi kushindwa majukwani.hili gazeti nafikiri nikati ya yaleyaliotabiriwa kuanzishwa kwa ajili ya 2015.
  Mwigulu una maelezo juu ya hili?wanabodi wanafurahi kupata ufafanuzi tunajua lipo ndani ya uwezo wake.
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  ccm ni********** Sana, na huu ujinga wao una mwisho, make hata utawala wa rumi uliokuwa na nguvu za ajabu ulifikia mwisho,
  wafanye kila mbinu lakini hizo mbinu zitaisha siku moja na wanaichi hawatakubali tena hizo propaganda za ******* wanazo fanya
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nashangaa kama itakuwa hivyo, gazeti lenyewe lina sumu gani mpaka waligawe bure?
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Ingelikuwa kule kwetu Mbulu, hilo gazeti lingekuwa dili kweli!
  Tungesokotea Sonyo!

  Wameru ni werevu sana, hawababaishwi na pepo wa ccm.
  Adhabu yao sikukuu ya wajinga
   
 5. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mtapiga kelele nyingi sana ila mkae mkijua CCM kitashinda ARUMERU na nitakuja kuwakumbusha apa apa kupitia jamvi hili.ni kweli watu wamechoka na CCM ila pia ni ukweli kwamba CHADEMA kinapoteza muelekeo na kinaelekea kufa kosa kubwa wanalolifanya CDM AU M4C NI KUTO KI INSTITUTIONALIZE CHAMA hawakipeleki kwa WANANCHI utakuta sura zilezile SUZAN LYMO,MBOWE,MTEI.SLAA hakuna watu wa morogoro kwenye uongozi hakijakaa kitaifa kimekaaa ki NGO
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Hilo gazati limeandikwa nini?
   
 7. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hivi ndivyo vichwa vya habari kwenye hilo gazeti:
  1. Chadema wakata tamaa front page
  2.CDM waburuzwa mahakamani mbeya
  3.Mahitaji ya arumeru mashariki si undugu wa nyerere-dongo kwa vicent
  4.chadema iache kufanya uhuni arumeru
  hayo ni kwa ufupi tu
   
 8. only83

  only83 JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Kazi kweli kweli..CHADEMA sasa vita ni kali..tukae mkao wa mapambano..ndani akina Zito nje Sauti huru.Ila naamini Mungu atatupitisha salama.
   
 9. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama itawasaidia saaana hiyo mbinu kwa kuwa watu wa vijijini ni wavivu sana kusoma. Wataishia kuvutia tumbaku tu labda wagawe maeneo ya mijini, ingawa kwa mazingira ya nchi yetu wasomaji wa magazeti wana magazeti yao hawakurupuki hata kama ni ya bure. Hebu fikiria humu jamvini thread ikiwa ndefu wavivu wa kusoma huwa wanalalamika, je mtu wa kijijini atakaa atulie kusoma gazeti. Poor strategy MR Mwigulu, utakuwa umeshauliwa na Bulaya
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Mar 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Suzan Kiwanga anatoka Morogoro
  Regia Mtema (R.I.P) naye alitokea Morogoro.
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Mar 25, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Inafurahisha na kupendeza kwa jinsi ccm wanavyojimaliza wenyewe.
  Wamekosa sera wanahubiri matusi.
  Shetani amewaingia kweli kweli
   
 12. L

  LOMAYANN JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 1,164
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  msemakweli tarehe 1/04/2012 wali wa kushiba unauona kwenye sahani kipindi hiki kura hata moja haitaibiwa
   
 13. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,537
  Likes Received: 10,457
  Trophy Points: 280
  umeongea point umechanya na pumba.
   
 14. M

  MASEBUNA JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sauti huru ni kama toilet paper mmliki wake ni fisadi na mfadhili wa ccm Subash Patel jk naye anakamkono hapo.

  Salva Rweimamu kwa maelekezo ya JK amekuwa akilisuport, kunakainzi kangu kalinitonya wiki yote walikuwa na vikao vya mikakati ya arumeru na fungu likatolewa la kufanikisha fitna.

  Huyu muhindi patel amewaweka waandishi Albert Kawogo na mwenzake wananjaa hao na kwakufanya fitina ni noma.


  wamewawaka jamaa wawili kama wamiliki wananjaaa hao Alabert Kawogo na mwenzake
   
 15. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu umejichanganya hiyo M4C inawashirikisha watanzania wote hata wewe.hizo ni zile propaganda mlizozitumia kipindi cha nyuma eti chedema ni ya kilimanjaro,haikufanikiwa,undugu nayo haikupata airtime,mkaja na ya udini nayo ikagonga mwamba.watanzania wasasa siyo wa TANU propaganda zote mnazoleta zinakosa mashiko.hiyo unayoisema ya kuinstutionalized inafanana hizo hapo juu ......kwishinei mkajipange tena
   
 16. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,173
  Likes Received: 1,175
  Trophy Points: 280
  Mbinu zoote hizo zilitumika igunga wanachofanya ni marudio tu.
   
 17. K

  Konya JF-Expert Member

  #17
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kama na hii ni moja ya mkakati wao wa kampeni huko arumeru basi huku ni kuishiwa,kweli wameshindwa kusimamia hoja zao majukwaani japo kwa kuwahadaa raia kwamba watazitekeleza pindi watakapopata hiyo nafasi leo wanagawa magazeti bure,nadhani hili ni zaidi ya siasa za majitaka
   
 18. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu nimekusoma gazeti linachapishwa na free voice investment co.kariakoo mtaa wa akamba.
  1.Albert kawogo-mkurugenzi mtendaji
   
 19. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,825
  Trophy Points: 280
  Per day serikali inauza gazeti la UHURU nakala sii zaidi ya mia mbili (200) Tanzania nzima.
  Hili gazeti linajiendesha kwa hasara ila linabebwa na malipo ya matangazo ya serikali ambapo malipo haya hayazingatii kuwa gazeti limeuzika au la hasha.
  Kama watu hawanunui basi hata kwa bure hawatayasoma.
  CCM mna Siasa za kurusha mishale ya sumu kwa wapinzani wako bila kukumbuka kuwa wapinzani hao wanauwezo wa kukwepa na wakaokota mishale iliyowakosa na kuwarushia nyie wenyewe mliokaanga sumu kwa ajili ya mishale iyo.
  Hili la magazeti litawageukia wenyewe coz ni siasa kichaa za kujidanganya.
   
 20. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #20
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  well said mkuu hata redio uhuru nayo taabu tupu!kwenye mikutano walishaacha kualikwa kwakuwa awana audience.gazeti linaloongoza kwa circulation ni mwananchi 60,000-100,000 copies na kama unavyojua mbaya wao Tido ndo mkurugenzi wa MCL.
   
Loading...