CHADEMA wasusia msiba wa mzee Musobi Mageni Musobi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA wasusia msiba wa mzee Musobi Mageni Musobi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwigo, Jun 5, 2012.

 1. m

  mwigo Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chama cha Chadema,ambacho mara zote kimekuwa Kikijipambanua Kuwa ni Chama Makini na mtetezi wa Kweli wa Wanyonge,Kimeshindwa Kutuma Muwakilishi katika Msiba na Mazishi ya Baba Wa Mbunge wao wa Viti Maalum,Letisia Musobi (Leticia Nyerere)

  Pamoja na Chama cha CUF Kuwakilishwa na M/Kiti wa sasa Prof.Lipumba, Makamu Mwenyekiti Mhe. Machano Hamis Ali,Katibu Mkuu,Maalim Seif Sharif Hamad,Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi Mhe. Abdul Kambaya, Mbunge Viti Maalum Mhe. Magdalena Sakaya,Wajumbe wa Baraza KUU La Uongozi Kadhaa na Viongozi wa Wilaya za Kanda ya Ziwa,

  Ajabu ni kwa Chadema ambao Pamoja na kuwa Mzee Musobi Mageni amewahi kushika Nyadhifa kadhaa za Kiserikali Kama Uwaziri,Ubunge na Ukuu wa Wilaya Kadhaa,Mwenyekiti wa Chama Cha Siasa Mstaafu,lakini Kwao wao Chadema Alikuwa Ni Baba wa Mbunge wao wa Viti Maalum,Mhe.Letisia Nyerere.

  Hata hili pia Chadema wameshindwa Kulithamini? Je ni chuki zao na CUF au ni kwa Kuwa LETICIA SI WA KASKAZINI Ndo maana hawajaupa Umuhimu Msiba Huu!?
   
 2. m

  mwigo Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=6]Chama cha Chadema,ambacho mara zote kimekuwa Kikijipambanua Kuwa ni Chama Makini na mtetezi wa Kweli wa Wanyonge,Kimeshindwa Kutuma Muwakilishi katika Msiba na Mazishi ya Baba Wa Mbunge wao wa Viti Maalum,Letisia Musobi (Letisia Nyerere)
  Pamoja na Chama cha CUF Kuwakilishwa na M/Kiti wa sasa Prof.Lipumba,Makamu Mwenyekiti Mhe. Machano Hamis Ali,Katibu Mkuu,Maalim Seif Sharif Hamad,Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi Mhe.Abdul Kambaya,Mbunge Viti Maalum Mhe.Magdalena Sakaya,Wajumbe wa Baraza KUU La Uongozi Kadhaa na Viongozi wa Wilaya za Kanda ya Ziwa,Ajabu ni kwa Chadema ambao Pamoja na kuwa Mzee Musobi Mageni amewahi kushika Nyadhifa kadhaa za Kiserikali Kama Uwaziri,Ubunge na Ukuu wa Wilaya Kadhaa,Mwenyekiti wa Chama Cha Siasa Mstaafu,lakini Kwao wao Chadema Alikuwa Ni Baba wa Mbunge wao wa Viti Maalum,Mhe.Letisia Nyerere.Hata hili pia Chadema wameshindwa Kulithamini?je Ni Chuki zzao na CUF au ni kwa Kuwa LETISIA SI WA KASKAZINI Ndo maana hawajaupa Umuhimu Msiba Huu!?[/h]
   
 3. samstevie

  samstevie JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo mengine duh
   
 4. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280

  Mtatiro at work! Multiple ID kama kawa!
   
 5. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ujinga mwingine ni kipaji lol!
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Capitalise on your competitor weakness
   
 7. mamaWILLE

  mamaWILLE Senior Member

  #7
  Jun 5, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  peleka upuuzi wako kwenu
   
 8. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hakuna weakness yoyote iliyooneshwa na CDM hapa, mambo mengine ni uvivu wa kufikiri tu. Nani unataka kumwaminisha kwamba CDM ingetakiwa kuuchukulia huo msiba kama wa chama? Peleka propaganda zako huku CUF. Hajawai kuwa CDM na hatumtambui, kama aliwai kuwa wa CUF sisi inatuhusu nini? Mbuge wa CDM atapewa pole kama wafiwa wengine.
   
 9. M

  Molemo JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hivi mtu mzima unaweza ukaandika ujinga kama huu?
   
 10. M

  Molemo JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Kwa kukutaarifu tu Mazishi ya mama yake mbunge wa Rombo yalikuwa wiki iliyopita lakini makamanda wote walikuwa kwenye operesheni okoa kusini.
   
 11. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nijuavyo kwenye misiba ya Africa hakunaga masuala ya Itikadi ya vyama
   
 12. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Kama alishashika nyadhifa serikalini ikiwemo u-WAZIRI mimi ninafikiri viongozi wa serikali ndiyo wangepaswa kuwepo kuliko viongozi wa vyama vya siasa. Am I missing something? au Pinda, JK walikuwepo?
   
 13. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #13
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  "Uropokaji ni dhahabu kwa mpumbavu"
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,484
  Likes Received: 5,868
  Trophy Points: 280
  Sasa hawa si msiba ulikuwa wao? Ulitarajia watangaze kuwa viongozi wa CHADEMA wapo hapo msibani?
   
 15. h

  hoyce JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo wewe unataka makamanda waache Operesheni Okoa Kusini (okoa nchi) yenye ratiba iliyopangwa muda mrefu na kugharamiwa na fedha za wananchi za kudunduliza, waende kwenye msiba wa mtu ambaye hakuwa mwanachama wao! You are too cheap. Hawa sio Kikwete. Hivi mbunge akifiwa unakuwa msiba wa chama?
   
 16. H

  Hingi Jr Senior Member

  #16
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu mchungu! Wiki iliyopita wana CDM walijifanya kumlaumu sana Nape kwenda kwenye msiba na kuwapa pole ndugu wa marehemu huku akiwa na ratiba ya kikazi.Sasa msiba wa baba wa mbunge wao wenyewe wanasema wako katika Operesheni Okoa Kusini (okoa nchi) ina maana CDM wote wako kusini?Acheni ubaguzi nyie angekuwa baba wa mbunge wa Kaskazini si wote wangejaa?
   
 17. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #17
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Chadema siku zote wabaguzi, ngoja SUGU ajidanganye akidhani hao jamaa ni ndugu zake, SUGU uwe makini watu wa mbeya tunakupenda.
   
 18. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa taarifa yako uongozi karibu wote wa Wilaya na Mkoa tulikuwepo. Tatizo lako unataka kumuona Zitto au Mbowe ndo useme chadema Wapo.
   
 19. M

  MTK JF-Expert Member

  #19
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Kwa nini usiwasiliane na CDM makao makuu kwanza ili ijiridhishe kama kweli huu wasiwasi wako una mashiko kabla ya kupost gossip zako hizi from the grape vine?!
   
 20. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #20
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Tel dem kamanda!
   
Loading...