BAJET YA 15 TRILLION kipi kilichoongezeka> | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BAJET YA 15 TRILLION kipi kilichoongezeka>

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkirindi, Jun 5, 2012.

 1. M

  Mkirindi JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 3,343
  Likes Received: 967
  Trophy Points: 280
  Watanzania katika bajeti hii ya 15 trillion, lazima ichunguzwe vizuri, the only way to recover from the hyper inflation, na to avoid kuwa kama nchi ya Ugiriki iliyofilisika, ni kupunguza matumizi yasiyokua na msing kama ifuatavyo, na kam ndugu ,unaweza kuongezea mawazo , karibuni:

  1. lazima ifanyika comparison, kati ya bajeti hii na ya mwaka jana, na kufatilia wapi kuna repitations.
  2. kuangalia kipi ambacho kina muhimu kugharamikiwa na kipi kinawea kuchekechwa.
  3. fedha nyingi zitumike ku leta ajira kwa vijana.
  4. wabunge wahakikishe hakuna hat senti moja haiendi kuwafidia mafisadi au fedha hazitumiki kuficha uchafu wa kifisadi ulioachwa na mawaziri waliofukuzwa kazi.
  5. kuna kiasi cha takriban billion 50++++, mepangwa kulipia madeni ya kina TANPOWER au mafisadi walio ifilisi MGODI wa kiwira. Jambo ambalo linatuletea utata wizarani Madini na Nishati. billion 50 zinalipwa kwa vipi????
  6. kuhakikisha tanaweza kuuza mazao yetu nchi za nje, kama KOROSHO, lazima zitengwe fedha za kufufua viwanda vya kuzi process korosho ili zileta faida kwa nchi na wakulima.
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Bajeti iwe ya Ths 3, 5, 10, 20, au hata 100 trillion inatakiwa ijibu swali moja tu:bajeti hiyo inatufikisha kwenye 'level' gani ya kufikia vision 2015? basi.

  Maadam kila mwaka CCM wamekuwa wanaleta bajeti ambazo ni vigumu kujua tumefikia wapi in terms of malengo ya Vision 2025, basi, nategemea upinzani watuoneshe 'alternative way of getting there. Upinzani watupe alternative budget inyotueleza vizuri tumefikia wapi, na tunatumia kiasi fulani kufikia level fulani and by 2025 tutakuwa sawa.
   
Loading...