Ni uwendawazimu na usanii kwa CCM kujibu hoja za CHADEMA kwa maandamano na mikutano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni uwendawazimu na usanii kwa CCM kujibu hoja za CHADEMA kwa maandamano na mikutano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Japhari Shabani (RIP), Jun 5, 2012.

 1. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa sasa hivi viongozi wa CCM na Nape wanajaribu kuandaa mikutano kujibu hoja za chama makini CHADEMA,hapa tunapashwa kujiuliza kwa CCM mikutano na maandama hayo ya nini?!

  CHADEMA kinaanda mikutano na maandamano hayo kutokana na CCM ambao wako madarakani kua kimya kutatua kero za walalahoi mbali na kelele na uhalisi wa jinsi hali hilivyo nchini ufisadi, rushwa, kutowajibika kwa serikali ya CCM n.k.

  CHADEMA hawako madarakani,CCM wako madarakani na vyombo vyote vya sheria, polisi, mahakama takuluru n.k.

  Ni kichekesho kwa chama tawala CCM kupanda majukwaani na kulalama kupambana na rushwa, ufisadi na uwajibikaji wakati wanauwezo kuviekeza vyombo hivyo kuchukua hatua mara moja. Huu ni usanii usio na mantiki.

  MUNGU IBARIKI TANZANIA.
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Bora tu waandae ili wazidi kujiumbua zaidi.
  Patamu hapo wananchi wameshawashtukia
  let them waste more money for nothing.
   
 3. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Na hivyo ndivyo tunavyotaka CCM waje! na ndiyo kazi ya CDM kukiamsha CCM waje na mikakati mbadala kwa wananchi waisikie kama wanayo. Mi nachofikiri mikakati ya maendeleo watakayoleta kwa wananchi ni

  1. CDM waongo
  2. Msiwasikilize CDM, hawajaenda msibani kuzika baba wa mbunge wao
  3. Na huyu LEMA tumeongea nae jana anataka kurudi CCM
  4. mimi NAPE, JK na CCM kwa ujumla tunaanda maandamano nchi ya kupinga kupanda kwa gharama za maisha

  Baadae sisi wanachi tunampa kinachostaili kwa mikakati yake hiyo.
   
 4. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  watasema mafisadi wanachukuliwa mahakmani wakati wengine ndio wanazidi kuongoza kamati za bunge. Itaakuwa kichekrsho mwenyekiti na rais kuomba.
   
 5. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Sasa nape atafanya kazi gani Jamani, akitoa maelekezo hospitali zifunguliwe haraka mnasema anaingilia kazi wa watendaji serikali, akiandaa maandamano mnasema ya nini wakati wanaserikali na kila kitu, akishinda Bar anapiga kinywaji mnasema anafrustration, sasa afanyeje? afanye nini?
   
 6. dogojanja 87

  dogojanja 87 JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 885
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  CCM kimesahau misingi yake ambayo mwlm nyerere aliitumia kukijenga na kukifanya imara,hakutumia maandamano na mikutano ya kuwajibu wapinzani wake bali bali alikijenga kuanzia ngazi ya chini ya mabalozi wa nyumba kumi,aliwapa majukumu na akawajali..
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,583
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  Shhhh!!!!. Usiwastue wacha waje wajivue nguo hadharani
   
 8. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,967
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Mkuu, kati ya mambo ambayo cdm wamewazidi kete ccm ni pamoja na hili la kwenda kwa wananchi. Baada ya kupora ushindi kwenye uchaguzi wa 2010, ccm walitarajia kwamba cdm wangeelekeza nguvu zao kwenye kufanya fujo na wakawa wamejiandaa kupambana na fujo, ndo maana tumeshuhudia mauaji ya watu wasio na hatia bila sababu yoyote ya msingi.

  Sasa cdm wakaamua kwenda kwa wananchi badala ya fujo, ccm wakakutwa hawajajipanga kwa hilo. Na kwa kuwa think tank yao ni shallow, sasa wanakurupuka kufanya lolote liwezekanalo ili kujibu mapigo bila mpangilio wowote.

  Maandamano na mikutano haitawasaidia kitu, maana hawana cha kuwaambia wananchi.

  Ni afadhali wangejikita kwenye utendaji wa serikali ili kuondoa kero za wananchi.
   
 9. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Ukweli ni kuwa nchi haina chama tawala. Wenye madaraka wanalia, wasio na madaraka nao wanalia. So hamna tofauti.
   
 10. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2012
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 180
  Mkuu nakuunga mkono.

  Chama tawala kinapaswa kijijenge kisiasa kwa kuwafanya vizuri katika uongozi wao. Kwa kutekeleza ahadi zao. Kwa kusimamia maslahi ya wananchi wanyonge, kwa kuongoza kwa uadilifu, kwa kutenda haki. Si kwa siasa za majukwaa.

  Vyama vya upinzani vinatumia siasa za majukwaa kwa kuwa ndio nafasi yao. Kukosoa serikali pale ambapo hawakutekeleza ahadi zao, hawakusimamia maslahi ya wananchi wanyonge, hawakutenda haki, hawakuwa waadilifu.

  Tengenezeni vizuri mkakati wenu. Kwa chama tawala "ACTIONS SPEAK LOUDER THAN WORDS"
   
 11. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  kwa sasa ndani ya CCM hakuna mwenye mvuto hata mmoja (kisiasa) wanajibomoa kwa kufanya mikutano ya kukusanya watu toka sehemu za mbali ili wawape kampani
   
 12. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Ajiunge ze comedy.
   
 13. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #13
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hiki chama wanaokishauri inaonekana ndio wanatamani kipotelee mbaliiii
   
 14. B

  Bhavick JF-Expert Member

  #14
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nafikiria watakavyojibu sipati picha!
   
 15. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  ntafurahi kuwaona ccm wakiandamana na kuitisha mikutano mikubwa kuelezea mafanikio yao mpaka sasa! itatusaidia sana wananchi kuona watawala wetu wanaona nini ktk mustakabali wa hali za maisha za watawaliwa wao. ila kimkakati, mikutano ya aina hii inaweza kuback fire.
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Fisi kakabidhiwa bucha!!
   
 17. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #17
  Jun 5, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kupumzika kwa tv kunategemea huruma ya remote au kukatika kwa umeme.
   
 18. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,777
  Trophy Points: 280
  Wakati cdm inachangisha pesa kutoka kwa wananchi kwa nia ya kuendeleza mageuzi, ccm wanagawa pesa kwa wananchi kwa nia ya kuzorotesha harakati za mageuzi.
  This is ridiculous.
   
 19. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #19
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ajivue Gamba!!
   
 20. Rugambamazima

  Rugambamazima Member

  #20
  Jun 5, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  avae gwanda kwani yote hayo afanyayo ni maigizo tu.. hana jipya
  :angry::angry::angry:
   
Loading...