Tanzania ya 16 duniani na ya 4 Africa kwa uzalishaji wa dhahabu lakini ya 3 duniani kwa ombaomba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ya 16 duniani na ya 4 Africa kwa uzalishaji wa dhahabu lakini ya 3 duniani kwa ombaomba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ta Muganyizi, Jun 5, 2012.

 1. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Tanzania hii inashangaza sana.

  Yaani duniani ni ya 16 kwa kuzalisha dhahabu na africa ni ya 4 lakini ni ya 3 duniani na ya 1 Africa kwa kuombaomba.

  Hii inanishangaza sana. Kuna mwenye sababu au hoja ya kunielewesha ni kwa nini?

  Kwa hali hii lazima tukubali ndoa za mashoga maana wazungu husema "Beggars can't be choosers" sasa walioko madarakani wana uhalali gani wa kuendelea kuwepo?

  Naona aibu kusema kuwa nchi yetu pia ina viongozi wazalendo.

  Kumbe hata kwa wanyama tuko juu (http://www.wildjunket.com/2010/07/15/top-5-african-countries-for-wildlife-watching/)


  Fuatilieni source hapo chini

  http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_countries_by_gold_production

  http://www.mbendi.com/indy/ming/gold/af/p0005.htm
   
 2. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mamaaaaaaaaaaa tushauzwa mda tujiulize ziara za Bushi na Clinton na Malkia unadhani wanakuja hivi hivi
   
 3. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Tuvumilie tuuuuuuuuuu, hakuna kulalamika
   
 4. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  hata ingekua 2,200,000 tungekuwa tunasaga meno tu kwa uongozi wa kizaramo
   
 5. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #5
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Umeua mzazi usitake niikimbie nchi yangu
   
 6. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kuombaomba hapa kwetu ni kitu cha kujivunia. Bwana mkubwa aliwahi kutuambia matunda ya yeye kuongea na wakubwa ndio hii misaada tunayoiona.

  Na hata internally tunaomba. Juzi Umaru Badwel kaomba rushwa milioni moja Restituta akaamua kumchoma na jana alifikishwa kwa pilato Kisutu
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Tumezidi ubogasi....!
  Pamoja na kuibiwa kote huku wasomi na wananchi kwa ujumla tunalalamika tu na tuko slow kwenye kureact ukizingatia unapotoa mdomo lazma ile kwako...!
  Pangekuwa na Democrasia nchini haya mambo tungeshayazibiti ila democrasia yetu ni ya maneno ila matendo ni udictator
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  hapo vipi?
  [​IMG]
   
 9. JS

  JS JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Najihisi kupata aibu kama mtanzania kwa mambo kama haya.....:A S 20::A S 20::A S 20::crying:
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  At least we ar good at something, kuomba omba!
  Hongera chama kwa kujenga nchi!
   
 11. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #11
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Tanzanite is the blue/purple variety of the mineral zoisite (a calcium aluminium hydroxy silicate) which was discovered in the Mererani Hills of Northern Tanzania in 1967, near the city of Arusha and Mount Kilimanjaro. It is used as a gemstone. Tanzanite is noted for its remarkably strongtrichroism, appearing alternately sapphire blue, violet and burgundy depending on crystal orientation.[SUP][1][/SUP] Tanzanite can also appear differently when viewed under alternate lighting conditions. The blues appear more evident when subjected to fluorescent light and the violet hues can be seen readily when viewed under incandescent illumination. Tanzanite in its rough state is usually a reddish brown color. It requires artificial heat treatment to 600 °C in a gemological oven to bring out the blue violet of the stone.[SUP][2][/SUP] Tanzanite is a rare gem.[SUP][3][/SUP][SUP][4][/SUP] It is found mostly in the foothills of Mount Kilimanjaro. The mineral is named after Tanzania, the country in which it was discovered.
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Inauma sana dah kwa maana hiyo Dhahabu haitusaidii
   
 13. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #13
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  [h=3]World's largest tanzanite[/h]The world's largest faceted tanzanite is 737.81 carats.[SUP][8][/SUP] One of the most famous large tanzanites (242 carats) is the "Queen of Kilimanjaro". It is set in a tiara and accented with 803 brilliant cut tsavorite garnets and 913 brilliant cut diamonds. Because tanzanite is relatively soft, it is usually set in necklaces and earrings.[SUP][9][/SUP] The piece is part of the private collection of Michael Scott, the first CEO of Apple Computers.[SUP][10][/SUP]
   
 14. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #14
  Jun 5, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  KWAKUONGEZEA TENA NA SEHEMU ZOTE ZA TANZANIA KUNAKOCHIMBWA DHAHABU AU MADINI YYTE YALE WANAONGOZA KWA UMASKINI ,MIUNDOMBINU MIBAYA,NA UGUMU WA MAISHA ie mererani. haya mambo huwa yanisikitisha sana ukiona kle mererani wawekezaji maisha bora ,ila hamna hata maji,hospitali barabara hamna kabisa ukikutana na mtu katoka mererari au tu kasafiri kwenye basi utasema alifukiwa chini ndo kafukuliwa.wananchi wnalalamika mno,.I CURSE MY SELF BEING TANZANIAN
   
 15. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Watanzania tumelogwa na mlozi wetu alishakufa hakuna wa kututibia, maisha kila kukicha ni afadhali ya jana. Tuna kila sababu ya kuongaoza kwa utajiri duniani ila kwa ufupi wa nywele zetu ndo maana akili zetu zimedumaa na kutufanya wa kwanza kwa umasikini.
   
 16. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #16
  Jun 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Pole sana pafume/deodorant hali ndiyo hiyo tukisema wanasema tunataka wananchi waichukie ccm!!!
   
 17. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #17
  Jun 5, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ngeleja na maige wanajua majibu watusaidie?
   
 18. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  having 3 biggest lakes,5 indian ocean ports,vast wildlifes!untouched fertile land for cultivation still we re poorest
   
 19. p

  profesa.n. Member

  #19
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 25
  Hii aibu ni ya ccm tu,ebutubadilishe ungozi alafu tuone itakuaje ndugu zangu coz mpaka twiga anapanda ndege,so hii ni balaatu.
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hivi kama tz ndo wa kwanza kwa kuwa omba omba je somalia ni ya ngapi pamoja na vita vyao vya miaka kibao je na tz tupo vitani? Je tunakabiliwa na majanga ya asili? Sasa kwanini ni masikini? Maana hata jk mwenyewe alidai hajui je yeye kutojua inamaana waTz wote hatui kwanini sisi ni masikini? Je kuna haja ya kuongozwa na viongozi wasiojua matatizo yanayoikabili nchi na wananchi wake? Da inauma na kusikitisha sana pale ninapokuwa na maswali mengi bila majibu!
   
Loading...