Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana JF Baada ya kutafakari kwa kina juu ya vurugu za hivi karibuni za wana-uamsho huko zenji, nikakumbuka post moja humu jamvini yenye kichwa JK mtandao huu ni hatari be careful waweza kuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mh: Nape Nnauye ameunguruma leo jioni hapa mkoani Njombe katika mkutano wake wa hadhara uliohudhuriwa na ma-mia kwa maelfu ya wananchi na kuzungumzia juu ya masuala ya uundaji wa tume mbalimbali...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Na Mashaka Mgeta 6th June 2012 John Mnyika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge, hana mamlaka ya kimaadili...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jambo la kushangaza Mkuu Mpya wa Wilaya wa Simanjiro mkoani Manyara Bw Peter Toima ambaye aliteuliwa hizi karibuni akitokea Wilaya wa Rombo, Mkoa wa Kilimanjaro amehamishwa wilaya hiyo na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
IKULU ILIINGILIA KESI YA UCHAGUZI. – GODBLESS LEMA. "Ndugu Wananchi; Napenda kutumia nafasi hii kutoa pongezi na shukrani nyingi kwa ndugu zetu wa Arusha kwa kuwapokea vizuri na...
90 Reactions
536 Replies
44K Views
Niliona umati wa Chadema kusini hapa ITV nimeamini 2015 nchi imekwenda. kama hata kusini wameamka, ccm itamdanganya nani tena sijui
0 Reactions
14 Replies
2K Views
WAKULIMA wadogo wa Kijiji cha Kisaki wilayani Morogoro wameyataja matrekta madogo aina ya ‘Power tiller’ walioyanunua kwa kilimo kuwa mkombozi kwa wagonjwa hususani wajawazito baada...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waandishi Wetu KAMATI ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama imembana Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ikimtaka aeleze ni kwa nini vitabu vya bajeti ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
JANA WARAKA ULIOANDALIWA KUMJIBU LEMA ULIKATALIWA NA MKUU WA KAYA BAADA YA KUTUMIWA NA KUJIBU KUTOKA KWA SIMU YAKE NENO MOJA TUU "hapana" SASA HIVI WAKUU WA KUJIBU WANAHANGAIKA BAADA YA KUPOKEA...
8 Reactions
70 Replies
7K Views
Mbunge wa Singida Mashariki na Mnadhimu wa kambi ya upinzani Bungeni Tundu Lissu Wednesday, 06 June 2012 10:23 KUTOKANA na vurugu zilizotokea Zanzibar Mei 26 mwaka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
fungua wapo fm mkinga akichambua juu ya kamati za bunge juu ya ufanyaji kazi zake je ni kwa uadilifu au kukomoana. na mengi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Source uhuru Katibu mwenezi wa CCM amewashukia CDM na kudai wameingia mkenge kwa kauli mbiu ya "Vua Gamba vaa Gwanda" ni kauli mbiu ya CCM na si ya CHADEMA. Amedai kuwa wanavamia kauli mbiu ya...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna kila njama zinazofanywa kwa makusudi kabisa, kupunguzia kasi Zitto Kabwe katika jukwaa la kisiasa. Njama hizo zinatokea kwa vigogo fulani wa CHADEMA, wanaomuona kuwa Zitto ni mwiba mkali...
7 Reactions
326 Replies
21K Views
Mwandishi Wetu KAMATI ya Bunge ya Miundombinu imeipitisha bajeti ya Wizara ya Miundombinu, ambayo ni Sh1,023,033,626,000. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Peter Serukamba, alisema kipaumbele cha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
JUNE 5, 2012NAIBU SPIKA WA BUNGE WA ZAMANI AFARIKI DUNIA ALIYEKUWA MBUNGE WA LUDEWA, MZEE MATHIAS KIHAULE AMEFARIKI JANA SAA TISA NA NUSU ALASIRI, KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI, AMBAKO...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo katika pitapita zangu katika maeneo ya soko kuu jijini arusha niliona sii mbaya nikienda kupata taarifa mbili tatu katika kijiwe kimoja cha wazee pale soko kuu. Wazee wale walikua...
2 Reactions
48 Replies
6K Views
HAKUNA jambo baya katika maisha ya binadamu kama ugonjwa; hakuna anayependa kuugua. Aidha, kila anayeugua anapenda apate tiba ya maradhi yake. Tena anataka tiba hiyo ipatikane kwa haraka na...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
WATANZANIA walio wengi, na hasa waliopo nje ya mfumo wa utawala wa CCM, wanaelekea kuwa na mwafaka kwamba mambo hayaendi ilivyo katika nchi yetu kwa sasa. Kwamba tulipo sipo tulipopaswa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dalili ya mvua ni mawingu wahenga walisema. Katika bunge la bajeti la mwaka jana lilishuhudia kutimia usemi usemao "za mwizi ni arobaini" baada ya aliyekuwa katibu mkuu wa wizara ya Nishati na...
0 Reactions
1 Replies
983 Views
Mchungaji Christopher Mtikila mwenyekiti wa DP nimekukumbuka mzazi wangu. Nimekukumbuka kwa suala moja tu, nalo Ni UTANGANYIKA. Nakukumbuka sana na gari Lako lile ukipeperusha Bendera ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…